Mabasi yaendayo kasi hayooo...!!!

Mabasi yaendayo kasi hayooo...!!!

Ina maana yakitolewa simba na yanga hayawezi kwenda kasi....?
Mtoa mada umeshushuliwa na wadau unaanza kutafuta sababu nyepesi kutetea bandiko lako! Is this not "Dissonance Reducing". Kubali tu yaishe bwana.
 
Mtoa mada umeshushuliwa na wadau unaanza kutafuta sababu nyepesi kutetea bandiko lako! Is this not "Dissonance Reducing". Kubali tu yaishe bwana.

Kawaida sana vipi zimekupanda nije nizitulize..?
 
Jike simba limetangulia dume yanga lipo nyuma
 
mtu anaruhusiwa kucheka muda wowote ili kuboresha muda wa kuishi nahisi wengi wana hangover ndo maana wana hasira.

Watakuwa mashabiki wa hizo timu...!!
Mie nashabikia Azam na Mtibwa bhana......!!!
 
View attachment 65554

Haya sasa mabasi yaendayo kasi hayoooooooo
visingizio vingine vije sasa.....
Haya mabasi yametolewa na wadhamini wa ligi nayo yalitangazwa kuwa watapewa timu zinAzoshiriki ligi. Ulikuwa na ulazima gani kuweka uzi huu??? Mod tunaomba hawa watu hawana shughuli mzuie uongo kama huu aende kwenye maandamano bana!!
 
Hahaha yanenda kasi balaaa.....
Kuna tajiri mmoja anaitwa zakaria kule tarime, amenunua haya mabasi yanafanya tripu za Mwanza to silari.......
Ukipanda hayo mabasi lazima uandikwe jina na utoe namba ya ndugu yako ambaye hasafiri.................

Kampuni hiyo hata kabla ya kununua hayo Yutong, magari yake sifa yake moja kuu lazima yakimbie sana. Huo utaratibu wa kuandika majina ni magari yote huwa wanakomaliwa na police na ni utaratibu uliotolewa na SUMATRA ila huwa unatekelezwa pale kunapokuwa na wimbi la ajali nyingi
 
Utabiri mzuri wa ligi kuu; bingwa lazima awe mbele.
 
Ila hizi rangi zimekaa kisiasa,hasa ukiangalia yanga rangi yake CCM pure
Yanga ina undugu na CCM kupitia vyama vilivyoitangulia kama TANU n.k. Enzi za mkoloni ili kuzuia watu wasijipange kudai uhuru ilikuwa hairuhusiwi kukusanyika bila ruksa, ikabidi ianzishwe timu ya mpira(Yanga) kama mbinu ya kukusanyika. Simba ilikuwa ina damu ya wakoloni ikiitwa sunderland.
 
Back
Top Bottom