Mabasi ya mwendo kasi na Mkongo wa taifa

mzee wa mazabe

JF-Expert Member
May 10, 2016
843
627
Wanajamvi wenzangu embu tudadavue kidogo kwanini Serikali wameshindwa kutumia mkongo wa Taifa katika vituo vya kukatia tiketi vya mabasi yanayo kwenda kasi hili kuisaidia kampuni ya TTCL HILI IWEZE KUJIENDESHA,sasa wanaongeza cost bule kwenye max malipo na vitu vingine?
 
Kwani tangu mkongo uanze kuna nafuu yeyote? Kama kufa ndio TTCL inazidi kufa. Vifurushi Mb 1, achana na nchi ya kusadikika fanya yanayokusaidia tu kuishi basi kesho tukaishi Akhera huko wenda kuna Maisha halisi sio haya Maigizo ya Tanzania
 
Nimeona TTCL wameanza kujitangaza tena na 4G LTE internet na wanadai ndiyo mtandao wa kasi, labda watakuja kivingine
 
Nimeona TTCL wameanza kujitangaza tena na 4G LTE internet na wanadai ndiyo mtandao wa kasi, labda watakuja kivingine
Hawa watu hawawezi kuendana na ushindani na sekta binafsi kabisa kwa sasa kuna Tigo,smile,vodacom na smart wote hao wana 4G halafu ttcl hawana gsm lines unapenetrate VP kwenye soko wakati watu wana CMU za gsm pamoja na modems.
 
Nimeona TTCL wameanza kujitangaza tena na 4G LTE internet na wanadai ndiyo mtandao wa kasi, labda watakuja kivingine
Wewe bana wameshindwa 2g wataweza 4g? Walishakuja hadi na visimu uchwara, walikuwa na 3g na bado wanakufa. Waulize Tanzania hii kwa 2g wanapatikana wapi
 
Back
Top Bottom