figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,943
- 63,716
Ukaguzi unafanyika in a synchronized manner nchi nzima....Sawa
Aisee hawa ndio wamiliki wa mabasi, je madereva watakuwa na akili gani?!! Sasa lililosababisha ajali ni write-off utalifungia vipi? Vile vile bus halisababishi ajali ni dereva ambae yupo chini ya kampuni ndio anasababisha ajali. Ukimfungia dereva hizi kampuni uchwara wanachukua dereva mwingine mnywa viroba anaenda kuua watu wengine. Kampuni ndio inastahili adhabu.Aidha, Taboa imesema inapinga uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) kutangaza kuyafungia mabasi yote ya kampuni ya City Boy badala ya moja ambalo lilisababisha ajali mkoani Singida hivi karibuni.
Sawa lakini pia serikali ifunge hospitali zake zote kwa sababu hospitali yake moja ilimfanyia upasuaji wa kichwa mtu aliyetakiwa kufanyiwa upasuaji wa mguu! Na nyingine ilisababisha mjamzito kujifungulia bafuni!!Aisee hawa ndio wamiliki wa mabasi, je madereva watakuwa na akili gani?!! Sasa lililosababisha ajali ni write-off utalifungia vipi? Vile vile bus halisababishi ajali ni dereva ambae yupo chini ya kampuni ndio anasababisha ajali. Ukimfungia dereva hizi kampuni uchwara wanachukua dereva mwingine mnywa viroba anaenda kuua watu wengine. Kampuni ndio inastahili adhabu.
Sawa.Sawa lakini pia serikali ifunge hospitali zake zote kwa sababu hospitali yake moja ilimfanyia upasuaji wa kichwa mtu aliyetakiwa kufanyiwa upasuaji wa mguu! Na nyingine ilisababisha mjamzito kujifungulia bafuni!!
Mikoan ndio wapi!?