Suala la kufungiwa leseni kawaida tu.
Captain Marzui alikuwa anafungiwa speed kila Mara kwa kukimbiza Boeing ya Air Tanzania lakini hakuwai kuacha speed.
Mkuu. Kuna ile Happy Nation. nyuma iliandikwa Sauti ya Manka. Dereva alikua anavaa kapero. Ile ilikua komeshaaa..... Na Happy nation nyingine iliandikwa Bussines Class ndo zilikua Bus zangu nikiagzwa Mbeya Kwa wakat huooo. Company etu ipo huko kikaz. Saa kumi upo Mkoaaa.