Mabasi ya kampuni ya Saul yazuiliwa Kibaha Mile Moja

zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
401
469
Habari wadau,
Bus Za Saul zinazofanya safari yake Dar to Mbeya, zimezuiliwa zisitoke kituo cha mile moja kibaha na Sumatra wakidai kuwa BUS Za Saul zimewah kupita wakadai timetable walipopewa wakasema imekosewa watu walipohoji mbona Alsaedy halikamati na limefatana na Saul?, wakabadilisha topic kuwa BUS Za saul zimefungiwa kufanya kazi na leo ni siku ya tatu hazitakiwi kuwa barabarani

Jambo hilo lilizua mzozo na taharuki huku abiria wakishuka kutoka kwenye Bus kufatilia mzozo huo, wakimbana afisa muhusika ila akishindwa kutoa majibu sahihi, mfano walimuuliza "BUS zimetoka Mbeya Je Mbeya hakuna Sumatra wa kulikamata?

Police wa usalama barabarani hawakuhusika ila walipoona mzozo unazidi ilibidi mkuu wao aingilie kati kumuomba madereva wangu kwenye Bus na watu waendelee na safari.

Trafic mmoja alisikika akisema ni hujuma Za Alsaedy katika kuonekana amechemka ligi, hili linajionyesha dhahiri Maana Saul Huwa zinasimamishwa kila mara ili Alsaedy aje ampite, watu wa stend Morogoro wanaelewa hili.

"Vijana wanaobet (bodaboda) kuwa Saul ataongoza kuingia Dar wamelalamika sn leo kukosa mshiko hasa wale kuanzia Mile moja kibaha to Ubungo"
IMG_20200616_185222.jpeg
IMG_20200616_184058.jpeg
 
Nimeondoka jiji la Dar tangu mwaka 2017. Hivi NEW FORCE zile gari bado zipooo. Maana zilitamba sana route ya nyanda za juu kusini kutokea Dar. Nani alikuwa mmiliki wa hizo gari
 
Nimeondoka jiji la dar tangu mwaka 2017. Hivi NEW FORCE zile gari bado zipooo. Maana zilitamba sana route ya nyanda za juu kusini kutokea dar. Nani alikuwa mmiliki wa hizo gari
Hizo gari bado zipo zinatamba na mmiliki ndio anaemiliki Golden deer
Wamiliki ni wachina ila all in all huyo sauli ndio baba lao kwa njia hyo kasoro yake moja ni ana idadi ndogo ya magari

Huyo Sauli kumpita barabarani bila figisu kama alizofanyiwa leo ni hauwezi kabisaa ni ana mwendo wa hatari utadhani anaenda mwanza kumbe anaenda mbeya
 
Wana bet na maisha ya watu.. New force vipi naye bado anapeleka bahasha kwa wakubwa??
Spidi za gari zimewekwa zifikiwe wacha wakimbie watakavyo wawahishe abiria Hilo timetable ujinga mtupu .Zinachelewesha watu .Zizingatiwe tu sheria za barabarani za kawaida Hilo la timeble liondoke linaongeza tu rushwa mabarabarani .Mimi binafsi napenda basi inayokimbia Sana akanyage Hadi mshale ufike mwisho wa spidi
 
Acha nidondoke kwa verse

Gari za sauli zina speed ya puma, ukiona imeshika road ujue newforce yuko nyuma.../

Wanajaribu kumshusha kwa kumfanyia hujuma, saul luxury habari ya mjini hawezi kubuma.../

King of the road kwenye race ipo namba moko, sauli mkubwa wao utakosea ukimfananisha na hiyo mikoko.../
 
Spidi za gari zimewekwa zifikiwe wacha wakimbie watakavyo wawahishe abiria Hilo timetable ujinga mtupu .Zinachelewesha watu .Zizingatiwe tu sheria za barabarani za kawaida Hilo la timeble liondoke linaongeza tu rushwa mabarabarani .Mimi binafsi napenda basi inayokimbia Sana akanyage Hadi mshale ufike mwisho wa spidi
Speed inaua mkuu
 
Back
Top Bottom