Na kweli ukiangalia picha za miaka ya 90 80 hivi huoni mwanamke akiwa amevaa suruali c..hata waliokuwa wakivaa walichkuliwa tofauti kama wlaikuwa wakijiuza na wengi wao walivaa mabwanga na wlivaa kanga kwa juu..najiuliza ile stara ilienda wapi nani alianzisha hii style wanawake kuvaa tight bukta skin jeans top crop top na wapo confortable kutembea barabarani nowdeiz ni kawada maana mtt anaveshwa nguo hizo tangu akiwa mdogo mpaka anakua mama wa familia anaona ni kawaida..mbaya zaidi mpaka madhabahuni hizo nguo tajwa unazikuta na huskii baba askofu akikemea... TTBS - Tanganyika Transport Bus Service; mlango wa abiria uko katikati ya bus na carriers ziko juu ngazi za kupandia huko ziko karibu na siti ya mlangoni.
Leyland na Bedford hizo! Scania by then bado sana; Marco Polo ndio ndoto za alinacha; Yutong hajatungwa mimba. Sina hakika kama kata-K wanaelewa.
Kipindi kile mwanamke kuvaa suruali ilikuwa ni aibu ya mwaka leo wako na skin tight maofisini na masokoni!
... ule Mkutano wa Beijing (ambao Tanzania ilikuwa chair) uliibua mambo mengi sana; sio mazuri tu na ya hovyo pia.Na kweli ukiangalia picha za miaka ya 90 80 hivi huoni mwanamke akiwa amevaa suruali c..hata waliokuwa wakivaa walichkuliwa tofauti kama wlaikuwa wakijiuza na wengi wao walivaa mabwanga na wlivaa kanga kwa juu..najiuliza ile stara ilienda wapi nani alianzisha hii style wanawake kuvaa tight bukta skin jeans top crop top na wapo confortable kutembea barabarani nowdeiz ni kawada maana mtt anaveshwa nguo hizo tangu akiwa mdogo mpaka anakua mama wa familia anaona ni kawaida..mbaya zaidi mpaka madhabahuni hizo nguo tajwa unazikuta na huskii baba askofu akikemea
Na huo ubunge Abood anaung'ang'ania kwa sababu hiyo tu, wala hana interest na mafao ya ubunge.Bila connections nchi hii hata Abood yasingekuwapo.
Angalia Shabiby pia. Hao wana rub shoulders na mawaziri wa sekta husika bungeni: mambo ya ndani na uchukuzi.
Magari yasumbuliwe vipi na wale mabingwa wa kubrashi viatu?
Under 40 unatowa wapi pesa ya kununuwa basi la million 200?Si nzuri kwa afya ya akili inatakiwa under 40.
Pana Mzee alistaafu akanunua daladala mwanzoni safi baada ya mazoea analetewa kiswahili akawa anashinda stand ya daladala kuhesabu tripu ngapi imepiga kwa siku.
Nimecheka,natamani kujua hatma ya huyu Mzee na daladala yake🤣🤣Si nzuri kwa afya ya akili inatakiwa under 40.
Pana Mzee alistaafu akanunua daladala mwanzoni safi baada ya mazoea analetewa kiswahili akawa anashinda stand ya daladala kuhesabu tripu ngapi imepiga kwa siku.
Ngorika alipofariki Mzee mwenyewe ndio kilikuwa kifo rasmi cha Ngorika, Watoto walipigiana pasu pasu.Ngorika, Bufallo, Sumry, Mombasa Raha, Mohamed Trans.
Kampuni ya Kiswele ilipotea baada ya kifo cha mmiliki wake Juma Ngalema.Kiswele na Kwacha.
Huyu Juma Ngalema ndo yule mwenyeji wa Lindi?Kampuni ya Kiswele ilipotea baada ya kifo cha mmiliki wake Juma Ngalema.
Kwacha, mwenye kampuni hiyo mzee Mfugale aliuza mabasi yote akaingia kweli kwenye biashara ya Hotel.
Ndiye mmiliki wa Peacock Hotel.
Mwenyewe amefariki nadhani mwaka 2021.
Ndiye huyo.Huyu Juma Ngalema ndo yule mwenyeji wa Lindi?
Zama hizo za makampuni ya akina Mfamao, Kilanga, MORETCO, KAMATA nk... TTBS - Tanganyika Transport Bus Service; mlango wa abiria uko katikati ya bus na carriers ziko juu ngazi za kupandia huko ziko karibu na siti ya mlangoni.
Leyland na Bedford hizo! Scania by then bado sana; Marco Polo ndio ndoto za alinacha; Yutong hajatungwa mimba. Sina hakika kama kata-K wanaelewa.
Kipindi kile mwanamke kuvaa suruali ilikuwa ni aibu ya mwaka leo wako na skin tight maofisini na masokoni!
ComfortTawaqal
Zainabu
Masiah
M Sleeping Coach
Matema Beach
Scandinavia Express
Kiswele
Executive
Hood ltd
Safina
Embakassy
Lupelo
Sayuni
Wajana kiba Ngorika, Ndenjela, Mohammed Trans, Ilasi etc
... mengine hayo hapo;Zama hizo za makampuni ya akina Mfamao, Kilanga, MORETCO, KAMATA nk View attachment 2742053View attachment 2742060
Mi nikiwa na 23yrs nilinunua costa mwaka 2003, nauli mwenge mbagala tsh.150/= hesabu elfu 30.Under 40 unatowa wapi pesa ya kununuwa basi la million 200?
Ngorika Zipo Hapo Moshi Mjini Zimelala Usingizi Wa Pono Yaani HatariNgorika, Bufallo, Sumry, Mombasa Raha, Mohamed Trans.
Morogoro Yard Kwao Wanasema Yapo Tu NdaniNililiona Chalinze kwenye mizani barabara ya kuelekea Segera utalikuta linasubiri abiria.
Nenda hapo niliposema utaikuta marcopolo inasubiri abiria.Morogoro Yard Kwao Wanasema Yapo Tu Ndani
Ipo Mizani Tu Nimepita Mwezi Uliopita Toka Kili Na BM NikalionaNenda hapo niliposema utaikuta marcopolo inasubiri abiria.
Competition ni kubwa biashara imebadilika inaendana na fashion kama jeans,kitu mchina