Mabasi mawili ya Chelsea

Mabasi mawili ya Chelsea

Kama Mourinho alipaki basis kwa nini wako wasitumie ndege au chopa kupita
Hayo ni malalamiko ya kitoto kama Chelsea walipaki basi mbona walifunga goli mbili ingekuwa drop ingeleta maana
 
Mpira ni mchezo wa mabishano...ukicheza vizuri ukifungwa tutasema 'aaah wamecheza wao lkn wamefungwa'..na ukicheza vibaya na ukishinda ndio yale kwa yale...kubwa katika mchezo wa soka zipo siku lazima utafute point tatu sio kufurahisha watu...Bingwa anapatikana kwa point sio kwa aliyecheza vizuri.
 
Timu inaingia uwanjani kwa lengo la ushindi tu,timu imepaki basi kwanini na nyie msipeleke wachezaji wenu wote mbele!
 
Timu zenye asili ya kutandaza mpira safi na wakuvutia hawawezi kukaa na kocha kama huyu......ndio maana Real Madrid walimfurusha..
 
Timu zenye asili ya kutandaza mpira safi na wakuvutia hawawezi kukaa na kocha kama huyu......ndio maana Real Madrid walimfurusha..

Umenena, hata mimi niliiona hilo, ukiangalia Madrid ya leo mpira wanaoucheza unavutia zaidi hutoki kwenye kochi kabisa!
 
Back
Top Bottom