Kupita tu basi la kwanza ni ngumu,je la pili?
![]()
Brendan Rodgers amelalamika sana leo asubuhi kwenye vyombo vya habari kuwa Jose Mourinho alipaki MABASI MAWILI pale timu yake ya LiverpoolFC ilipocheza na chelsea jana.

Na amefanikiwa kuzichapa timu kubwa zote kwa style hiyo

Liverpool last won the premeier league when apple and blackberry were just fruits
Brendan Rodgers amelalamika sana leo asubuhi kwenye vyombo vya habari kuwa Jose Mourinho alipaki MABASI MAWILI pale timu yake ya LiverpoolFC ilipocheza na chelsea jana.
Ila ladha ya mchezo unakuwa haupo
style ya mpira wa kishamba. mpira pori. mpira mwitu
Kama wanataka ladha waweke ndimu na pilipili
changushangaza ni pale anapokutana na Sunderland au crystalpalace.
Papa Mopao ila ushindi ni magoli,ladha ya nini?Ila ladha ya mchezo unakuwa haupo