Mabasi mapya ya UDA

Na train za Dar? vp? Mabasi yaendayo.kasi?
 
hivi hasa kilicho iua uda ya mwanzo kimedhibitiwa....!!? Au ni kama mtu unaumwa malaria unenda hospitali una tibiwa.... Unapona.... unarudi nyumbani halafu unaendelea kulala kwenye mbu bila net....!!!?
 
Naona kitu cha Mchina/Mhindi hayata dumu
 
Hivi kesi yao imeishaje?na idd simba ndo kasunda zile mil.300..dah this kantre bwana
 
UDA wanakumbuka shuka wakati kumekucha!! sisi na Mwakyembe Treni tu labda atuangushe kwenye nauli, tunasubiri.
 
mkuu uongo wako mzuri unasema yapo kama elfu wakati namba za mabasi hayo zina 3 digits tunaziona hapo kama hyo moja ni 015
Kwenye picha ni utambulisho tu. Aidha mabasi 1000 yanakuja!
 
Nchi hi haiishiwi vituko. Sasa tunakaribisha mradi wa mabasi ya 'nduki', treni ya ubungo-stesheni na sasa naona TATA wamepata dili.

Hapo mtu keshachukua 10% toka kwa wahindi kutuuzia mikweche iliyofeli kwenye mradi wa mabasi ya wanafunzi miaka ya 90
 
mkuu uongo wako mzuri unasema yapo kama elfu wakati namba za mabasi hayo zina 3 digits tunaziona hapo kama hyo moja ni 015
sipati picha basi number 666 litakavyokuwa linapigwa vita na Walokole
 
labda tatizo la usafiri litapungua manake yanaonekana yanauwezo wa kubeba abiria wengi kuliko daladala nyingine zilizopo.
Na tren za mwakyembe zitakapo anza, then na mabasi ya mwendo kasi nadhani tatizo litaisha kabisa.
 
Jamari wengine mabox yanataka kutuua hats issues za home tunasahau, hivi muwekezaji Ichihara aliondoka?
 
Wamesikia train za dr mwakyembe nao wamenunua mabasi mapya
mimi nitapanda train ni safe ajari si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…