Mabasi mangapi yanatoka Ubungo kwa siku?

Mabasi mangapi yanatoka Ubungo kwa siku?

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Wadau,

Wenye takwimu angalau za wastani, naomba kujua kwa siku moja ni mabasi mangapi yanatoka stand ya Ubungo terminal kwenda mikoani.
 
wadau wenye takwimu angalau za wastani, naomba kujua kwa siku moja ni mabasi mangapi yanatoka stand ya ubungo terminal kwenda mikoani .
Nenda kakae langoni ubungo uwe unahesabu yanapotoka
 
Katika kitu utakosa Tanzania ni Takwimu ndugu yaani kila kitu Chai
Serekali yenyewe haijui
 
Nachojua abiria wanaumia sana na jua pamoja na mvua ikitokea inanyesha maana hakuna pakujihifadhi samahan kama nitakuwa nimetoka nje ya mada
 
kutokak kwa last statistics walizotoa sumatra ni magari kati ya 330-350 kila siku
 
Lakini hapafanani kabisa na umuhimu wake, pa ajabu kama stendi ya kijiji. Kwanini manispaa mikoani ziweze kujenga terminal za kisasa jiji lishindwe?
 
Lakini hapafanani kabisa na umuhimu wake, pa ajabu kama stendi ya kijiji. Kwanini manispaa mikoani ziweze kujenga terminal za kisasa jiji lishindwe?
Ile stendi inahamishwa, waijenge ya nini wakati eneo lile haliwi stendi tena
 
Back
Top Bottom