Mabasi Kuruhusiwa Kusafiri Usiku?

Mabasi Kuruhusiwa Kusafiri Usiku?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
Wakuu

Nimeona kupitia The Guardian kwamba huenda mabasi yakaruhusiwa kusafiri tena usiku

Tafadhali mwenye taarifa zaidi

Buses to be allowed night operations
Tanzanian leaders in government, business and various organisations have been cautioned that youth all over the world are increasingly resisting the old leadership methodology where they are simply told what to do and not engaged in decision making.

The leaders are as such challenged to engage youth by trusting, empowering, involving and allowing them to have a say on how a company, agency or organisation is run rather than being told what to do.

The challenge was issued by world renowned leadership expert, John Knights who is an Honorary Lecturer at the University of Chester in the field of Work Based Learning and also lectures at the University of Oxford on leadership development, told journalists yesterday in Bagamoyo that this is a crucial time for Tanzania as a country heads towards its general elections next year.

He was speaking at the Annual Chairperson Retreat seminar in Bagamoyo, Coast Region on the opening of the two day seminar organised by the Institute of Directors Tanzania (IODT).

He said traditionally, the leadership entailed knowing everything and telling people what to do, but this does not work in the new by a countrywide inspection of driving schools as well.

Preliminary investigations conducted by a sub-committee formed by Transport minister, Dr Harrison Mwakyembe, revealed that among other things, the lack of contracts for motorists actively contributes to occurrence and increase of road accidents.

Speaking to the reporters, Mwakyembe who was accompanied by the Employment and Labour minister Gaudentia Kabaka and Home Affairs deputy minister Pereira Silima explained that the exercise will be carried out by the Labour and Employment ministry and will also give the government a chance to examine payment of bus and truck drivers' contributions to social security schemes.

"It's obvious that reckless driving is fueled by poor work environments and salaries are key in this aspect…so we will examine their contracts and determine their payment schemes and contributions to the social security," he said.

"There is an also poor regulation in the issuance of driving license…this will also be addressed," he added.

The minister also announced that the Ministry of Home Affairs will also evaluate and inspect all driving schools across the country.

On the subcommittee report, the minister said the report was submitted on October 3; "I tasked government agencies such as Sumatra and other key transport stakeholders to go through the report before we make it public," the minister said.

Nonetheless he cited that the findings show 50.3 per cent of road accidents are a result of over speeding and reckless driving.

"Passengers also are to be blamed for being part of avoidable accidents which continues to mar road safety in the country," he said noting that the report also indicates that poor inspection of upcountry buses is also associated with increased road accidents.

Source: The Guardian
 
DSC06177.jpg
 
Mabasi kutembea usiku sio tatizo, lakini tatizo kubwa ni usalama wa abiria utakuwa umewekwa rehani katika mambo mawili makuu niyaonayo mimi. 1. Ujambazi umukithiri sana hapa nchini, hivyo majambazi watapata nafuu ya kuyateka kiurahisi mabasi nyakati za usiku na kuwafanya watakavya abiria na mali zao. 2. Wasafiri wengi wanaotumia mabasi wataniunga mkono kuwa Dereva mmoja anatoka na Bus kwa mfano Mwanza mpaka Dar peke yake, anaondoka Mwanza saa 12.00 asubuhi na kufika Dar takribani saa tano usiku. Ukaidi wa Waajiri kutotaka kuajiri madereva wawili ili wasidiane ni ukaidi huo huo utaendelea hata mabasi yakitembea usiku, hivyo abiria na mali zao kuwa katika hatari zaidi kupata ajali kwa sababu ya uchovu wa dereva. Miaka ya huko nyuma wakati mabasi yanatembea usiku ajali nyingi zikuwa zinatokea karibu na kupambazuka. Tatizo kubwa na vyanzo vya ajali hizo ikiwa ni madeva kusinzia akiwa anaendesha gari. Lakini kupanga ni kuchagua, kama vijana watasingizia mambo mengine ili kuhalalisha wayatakayo sawa. tutegemee ajali nyingi zaidi kama za boda boda ambazo watumiaji hawataki kujifunza na kubadilika.
 
Waruhusu tu, hao traffic waliozoea kula rushwa za bure walinde mabus usiku.
 
Ajali zitaongezeka maradufu ya hivi sasa, chonde chonde
 
Wakuu

Nimeona kupitia The Guardian kwamba huenda mabasi yakaruhusiwa kusafiri tena usiku

Tafadhali mwenye taarifa zaidi



Source: The Guardian
kama kawaida matakwa ya wafanyabiashara ndio yanatawala dhidi ya maslahi ya kijamii. sote tunajua bado hatujaweza kuondoa udhaifu mkubwa uliopo kuhusu usalama barabarani na madereva. tunajifanya tumesahau kwa nini tulipiga marufuku safari za abiria usiku. mchana kweupe hali ya ajali ni ya kutisha ndio eti tunataka kurejesha safari za usiku! wenye mabasi hawajali kama wanaua abiria wangapi wanachojali tu kama wanapata pesa ngapi.
 
kuna suala la wafanyabiashara kuogopa matairi kuchoka haraka mchana wa jua kali
 
Hii itakuwa safi sana, kwani miaka ya nyuma.mbona ilikuwa hivo?
Kwa upande wa usalama naamini watakuwa wamefanya utafiti na yawezekana si mikoa yote mf. Dar - Moro mpaka Dodoma hakuna shida sana, au Dar - Arusha hapo ni mfano tu but kuna njia.zingine ambazo asilimia kubwa miji na vijiji vipo karibu karibu so suala la usalama upande wa ujambazi linaweza kuwa tofauti na kama kule bukoba kutokea kahama kwenye lile poli kubwa sana na ambalo ukipita mchana unaweza kudhani ni usiku, pia magari kusafiri kwa ukaribu karibu inaweza kusaidia kwa upande huo.
Lakini kwa upande wa barabara sisi tz tuna barabara (long way) nzuri kuliko jirani zetu kenya lakini wao ambao hata suala la ujambazi kwa kuteka mabasi lipo juu bado wanasafiri usiku na mie napenda sana maana huwa kutoka mwanza kwenda NRB ukifika border sirare unaenda migori saa 2000hrs unapanda eridoret au acasia unaingia NRB saa 0600hrs unafanya mambo yako na jioni unafanya asif ulivokuja. Sasa sie hapa uwoga weeee, hata moro dar napo unasubiri kuche dooo…!!.
Ikianza hii itaongeza maendeleo na uchumi kukua japo wenye nyumba za wageni wajiandae kufanya biashara zingine AU ziwe za shortime -hahahaaaa.
 
Hii imekaa poa sana hii hasa kama una demu pambeni na chupa ya chai kwa maandazi au kinywaji ........
 
Kiuchumi:
Kwa mfano unatoka iringa jioni unafika dar usubuhi
unafunga mzigo mchana kutwa,jioni unakwea basini.
Mapedekezo
dar ira
dar moro
dar tan
dar dom
dar ms/r chug
(kwa usiku ni salama zaidi ya mchana)
ok?
 
Back
Top Bottom