Mabasi hewa ya Madenti Dar........................... ......

Hay magari ya wanafunzi yanabalaa kwani hata LUKUVI aliwahi kuiba hela za kununua mabasi ya wanafunzi akiwa umoja wa vijana wa magamba, halafu leo eti ni mjumbe wa kamati ya maadili ya chama chao!!
 
Watoto wao wasingepelekwa shule na skulu basi na fiiex fiieiti mambo yangekuwa tofauti
Kungekuwa kuna kujali na kuwajibishana mambo yangekuwa tofauti
Keko na segerea kungejaa wevi wa mali za umma na wala rushwa sirikalini mambo yangekuwa tofauti
Watu wangekuwa na uzalendo na kuyatanguliza maslahi ya wengi kwanza mambo yangekuwa tofauti
Tumewekeza kwenye siasa, tumeipa thamani kubwa siasa tumesahau kwingine na haya ndio matokeo yake!!! Huangaliwi una nini bali una bei gani ...!!!bila kujali umepataje
 

Kweli tupu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…