Mabarmaid poneo la wengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Unaweza ukabisha lakini wahudumu wa bar ni cold prostitutes
Unakuta ana wapenzi wa mchana kabla hajaingia kazini saa kumi, hawa mara nyingi ni watu wa mishemishe, wezi na matapeli
Wapenzi wa jioni, hawa ni wafanyakazi maofisini na watu mwenye ndoa zao, ambazo hawakai zaidi ya saa tatu au saa nne Usiku
na mwisho ni wapenzi wa Usiku mwingi hawa mara nyingi ni mabachela, wahuni , wezi nk na mara nyingi ndio huwa wapenzi wa kweli
Wale wadoeaji wapenda vya bure nao huja Wakati huu wa Usiku mwingi ambapo hukuta barmaid ameshakula ameshakunywa Kwahiyo alichokosa tu ni chumba na hataki kulala gheto Hapa jamaa hujibebea kiulaiiiini

Kama ilivyo ada kuwa K ni kama halua haina makombo kula ukijua kuwa haupo pekeyako usijekugongana na mwenzako ukaanza kurusha ngumi utachekwa...!!!w
 
hahaaaaa Jamila wangu weeeeeee.....
 
mh...hatari kwa afya...weka mbali wanandoa...
 
Hiyo bar nayo nooma..... Si ajbu kuwekewa madawa kwenye beer ukienda kujisaidia..

Mabaamed ni waaminifu sana kwa wateja wanaowafahamu. Kama unakula mzigo, ukaenda ukamkuta kashapata kichwa, hanaga hiyana anakukabidhi kwa shosti yake ukashushe mźigo. Kesho yake ukienda anakuhudumia for free kama kukuomba radhi ya kukosa huduma yake.

Mabaamedi safi sana. (msininukuu, nlisikia vijana wakisema, mie simo)
 
Na wew umo,mbona mimi sijasikia hayo kwa hao vijana
 
Yan umeongea ukweli mtupu,hahahahahahaaaa umetugusa wengi naamini hivo
 
London bar mabaibooo..hatareeee miuno kama pangaboi kudadadeki

aiseeee babayangu hapo london bar napajua vizuri nyuma ya mabibo hostel nakumbuka mwaka juzi nilipo kuja dar kununua mbegu mpya ya mahindi na kahawa nilifika kwenye hiyo bar mbona pesa zote za pembejeo zilikwisha hao mabarmaid ni hatari yehiiiiiiiiiiii
 

Ningekushangaa sana kama usitokezea kwenye huu uzi
 

Mkuu, kuna London Pub iliyopo Makuburi(karibu na Mkapa export zone) , na London bar iliyopo Ubungo maziwa..
Ni ipi uisemayo wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…