Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,958 Oct 19, 2013 #1 Hivi ndivyo vituko vya mechi za Simba na Yanga. Mchoro kwa hisani ya Nathan Mpangala.Na Daniel Mbega HUKU utasikia: "Simba! Simba! Simba!" halafu kule nako kutasikika: "CCM! CCM! CCM!" Naam,
Hivi ndivyo vituko vya mechi za Simba na Yanga. Mchoro kwa hisani ya Nathan Mpangala.Na Daniel Mbega HUKU utasikia: "Simba! Simba! Simba!" halafu kule nako kutasikika: "CCM! CCM! CCM!" Naam,
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Oct 19, 2013 #2 MziziMkavu upo lakin? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Oct 19, 2013 #3 yanga bhana wakifungwa wanaweka video youtube wakilia...'''''iiiiiiiiii iiiiiiiii iiiii niacheni bhana nilie,inauma inauma,iliingiaje ..iiii iiii inauma"
yanga bhana wakifungwa wanaweka video youtube wakilia...'''''iiiiiiiiii iiiiiiiii iiiii niacheni bhana nilie,inauma inauma,iliingiaje ..iiii iiii inauma"
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,772 Oct 19, 2013 #4 Excellent said: yanga bhana wakifungwa wanaweka video youtube wakilia...'''''iiiiiiiiii iiiiiiiii iiiii niacheni bhana nilie,inauma inauma,iliingiaje ..iiii iiii inauma" Click to expand... Tuache yanga...na kesho lazima tuifunge Simba......... btw yule shabiki alienda kushiriki BSS anavyoimba alituaibisha wapenzi wa yanga
Excellent said: yanga bhana wakifungwa wanaweka video youtube wakilia...'''''iiiiiiiiii iiiiiiiii iiiii niacheni bhana nilie,inauma inauma,iliingiaje ..iiii iiii inauma" Click to expand... Tuache yanga...na kesho lazima tuifunge Simba......... btw yule shabiki alienda kushiriki BSS anavyoimba alituaibisha wapenzi wa yanga
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Oct 19, 2013 #5 Heaven on earth said: Tuache yanga...na kesho lazima tuifunge Simba......... btw yule shabiki alienda kushiriki BSS anavyoimba alituaibisha wapenzi wa yanga Click to expand... msije kulia tu inauma
Heaven on earth said: Tuache yanga...na kesho lazima tuifunge Simba......... btw yule shabiki alienda kushiriki BSS anavyoimba alituaibisha wapenzi wa yanga Click to expand... msije kulia tu inauma
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,772 Oct 19, 2013 #6 Excellent said: msije kulia tu inauma Click to expand... hahaa halii mtu bana