hv kwa nn k2 kikifanywa na upinzani inaonekana kosa mfano ccm walivyotoka dodoma wakaanza kampeni wakimtembeza maguful tena waki2mia rasilimali za taifa kama magari na police wanaolipwa kwa pesa ya kodi kwa ajili ya matumiz ya chama kanga kbao wanatumia mpaka television ya taifa kwa maslai ya chama tena mbaya zaid kila mgombea wa nafasi ya urais kutoka ccm ndio chaguo la mungu utadhan mungu huyo ni mungu wa lumumba au wa mussa na daudi? leo wamekamatwa na rushwa bt cjaona hata mmoja akipelekwa mahakamani ingekuwa ukawa ndo wamekamatwa wangejuta leo nashawishika kusema kama lowassa angekuwa mchafu asingeweza kuhama chama coz vyama vng vya afrika uktoka 2 jiandae kwenda mahakamani mfano mzr ni julious marema wa S.A leo maguful anaulinzi mpaka kijijini kwake tena ulinzi si green guard ni police na tiss tena mmoja wa walinz wake namfaham vzr sana sasa kama ulinz ni haki ya wote mbona vyama vngne avpewi? au ni special kwa ccm 2