Mabango ya kutaka Freeman Mbowe aachiwe huru kwa vile siyo Gaidi yatinga kwenye Mkutano wa UN huko Marekani

Pale ikulu, The White House Kuna kitengo kinachoshughulikia mambo ya Africa ,najua wameona hii kitu. Hawa jamaa ndio wasaliti sasa, sijui hawataki tupate misaada kutoka kwa mabeberu? Sijapenda
 
Halafu wanasema Tanzania kuna Amani
 
Endelea kuota na kutabiri kama nabii feki Lema.
Mdharau mwiba mguu huota tender!Unabii wa LEMA ulitimia JPM alifariki.

Kuna jamaa ametoa ushuhuda wa mwenzenu anayehangaika na magonjwa mazito ya mzazi wake !Kuna cha kujifunza utafute ule uzi,Ni bora ukawa Kama johnthebaptist au YEHODAYA hawa pamoja na ushabiki wao Na mahaba kwa CCM Lakini wanamipaka na utu.Huwezi jua kesho yako
 
Figure's matter!!
 
Figure's matter!!
So awe anaandamana mwenyewe Mana yeye akiwekwa ndani Kuna wa kumpigia kelele.
Mtu anatumiwa anakuwa mtaji wa mwingine kula vilaini.
Hakuna atakayeniwekea chakula changu Mezani Bali my own brain and hand muscles only.
Akaandamaane mwenyewe Sasa aitishe katiba mwenyewe. Muda ukifika hakuna atakayemshawishi mwingine kuidai
 
Kakojoe ulale !
 
Kakojoe ulale !
Utakuwa na wewe unatumia mtaji wasio na uelewa wewe unapiga pesa so umeona Kama nakuharibia ulaji wako.
Hakuna nouma.lete namba tuchangie makamanda tukamtoe mafisadi madarakani.
Ila bana mchg ni mjanja kinouma.
Anawashika wengine afu viti maalumu anawapa dada zake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…