Mabango ya CCM yataondolewa leo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabango ya CCM yataondolewa leo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MchunguZI, Oct 30, 2010.

 1. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nafahamu kwamba leo ndo mwisho wa kampeni na kesho hakuna hata anayeruhusiwa kuvaa au kupeperusha bendera ya chama chochote ktk kituo cha kupigia kura. Ktk kampeni hizi CCM imetundika mabango mengi nchi nzima ikiwa ni sehemu ya kampeni.

  Tegemeo langu ni kuona kwamba leo ni mwisho wa kampeni mabango yote ya CCM yataondolewa. Kinyume cha hili watakuwa bado wanaendelea kupiga kampeni siku ya uchaguzi.
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kweli baba...
   
Loading...