Mabango ya CCM Mjini



View attachment 280270View attachment 280272

Unamaanisha mabango haya???
 
Uchaguzi 2015 Octoba 25 ni kwa viongozi wa Taifa letu toka ngazi za chini. Tusiweke nguvu na kete zetu kwa nafasi ya Rais tu. upinzani unaweza ukajikuta wanakosa Urais na kupoteza hata majimbo na kata ambazo walikuwa nazo kipindi cha uongozi unaoisha. Kupanga ni kuchagua
 
Lowassa mabango yanin sasa jaman.....mbona kila mtu anamjua......me sioni haja ya mabango, labda huyo maguful cdhan km anafahamika vya kutosha?
 
Lowassa yupo kidigitally hata bila picha tunaweza kumnadi sisi wenyewe...
 

Gharama za Kampeni ya Magufuli ndio zimeanza
....kipindi kile mnasaka wadhamini mlitumia kiasi gani kwa mgombea wenu?
 
 
Wanaukumbi.

Kuna neno 'Hapa kazi tu' watungaji hawakuona madhara..

Neno hilo limeanza kuimaliza ccm na mgombea kwa maana kuwa KUNA KAZI KUBWA KUMKABILI LOWASSA..kana kwamba kazi ya kampeni ni ngumu 'tu' likiwa na maana yatosha kwani TUMESHINDWA ILA TWAJIPELEKAPELEKA KUTIMIZA JUKUMU.

Shauri ya magamba,nadhani hamna mshauri.

TAFAKARI..
 
Nyinyi msiwe na wasiwasi, endeleeni kula keki za birthday. Subiri KIPIGO SIKU YA SIKU.

HALAFU NYIE HAMNA SLOGAN NDIO MAANA UNATOKWA POVU NA HAPA KAZI TU.









 
Wana jamvi ebu nielimisheni kuhusu mabango yalotawala barabarani kwa hapa dar yamejaa mno ya mh magufuli alafu wagombea wengine awapo.
 
Kaka kuipata Ikulu siyo lele mama! Haushangai wanavyotembea na wasanii kwenye kampeni zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…