Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

pole sana ndugu yngu huo ugonjwa ni mbaya sana unasumbua sana wanafunzi hasa wale ambao wanakaa boarding na unasababishwa na 1.kuvaa nguo zinazo bana kwa muda mrefu hasa wakati wa joto 2.kuchangia nguo na watu ambao n waathilika wa ugonjwa huo na hata kuchangia vifaa kma sabuni ,ndoo na mabeseni wakati wa kuoga ,taulo nk nakushauli nduguyangu dawa ya kutibu haraka ni kunyunyuzia poda pia kujiepusha na kushare vitu na watu.ugua pole
Ahsante sana mkuu nitaufanyia kazi ushaur wako
 
usafi tu, hakikisha unanyoa kila Mara, hakikisha huvai boxer ambazo ni nylon jitahidi uvae cotton, hakikisha mazingira yanakua makavu kabisa. Ukipata Mafuta ya Nazi halisi Utakua umepona hutahitaji kupiga gemu Ukiwa gizani...
 
Ni usafi tu,utameza dawa,utapaka dawa ila kama mazingira ni yaleyale ni sawa hakuna kitu
 
usafi tu, hakikisha unanyoa kila Mara, hakikisha huvai boxer ambazo ni nylon jitahidi uvae cotton, hakikisha mazingira yanakua makavu kabisa. Ukipata Mafuta ya Nazi halisi Utakua umepona hutahitaji kupiga gemu Ukiwa gizani...
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom