Mabaharia mliitatuaje hii changamoto?


Pole sana mkuu kwa changamoto. Inaonekana hujawahi kulala kwenye hotels/motels & guest houses za Bukoba, Karagwe, Misenyi au Muleba maana magodoro yao mengi yanacovers za nylon tu. Ukibahatika kulala sehemu nilizotaja evu fanya jaribio hili, nunua drinking water 500ml then yamwage sakafuni au kwenye tiles utagundua maji yanakimbilia kwenye angle mojawapo ya room then chunguza vizuri kwenye iyo angle chini utaona kitundu kidoogo (weep hole) well designed to drain squirting water from within any assembly in the room. Very interesting [emoji4][emoji4]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu sijawahi kutembelea huko,lakini hii kitu huwa inachangiwa na nini?
 
Mkuu sijawahi kutembelea huko,lakini hii kitu huwa inachangiwa na nini?

Wanakula aina fulani hivi ya vi-ngogwe vidogo vidogo (entula) vikiliwa pamoja na aina fulani ya pilipili hatari sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…