Salaam!
ni ukweli usio pindika, kua kila mwanadamu anapitia mabadiliko na mabadiliko huwa hayana hodi, unaweza ukayapinga leo, kesho ukayakubali naamin katibuvwa itikadi atayafuta mabadiliko na alishaanza kuyatafuta tangu zamani bila kujua, siku akiona watu wote wameyapata atakuja ungana na watakao pata pale uwanja wa taifa maana taifa litakua lenye furaha, upendo, umoja na mshikamano. Hongera sana kwa wale walio tambua na wale wanao endelea kutambua.
Asante sana nape katibu wa ccm, iko siku nawe utakua kwenye historia ya nchi hii kwa vizuri lakini.