Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,801
- 7,466
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
- Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
- Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
- Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
- Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
Ufuafao ni mtizamo wangu juu ya mambo ambayo naamini yakifanyika yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
- Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
- Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
- Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
- Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Tatizo kubwa ni mfumo samia onaweza ondoka na akaja mtu mwingine mambo yakawa hayahayaSamia must go!
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaKwenye Serikali yako naomba usiwaache hawa marais wengine kwenye teuzi,
rais wa madeni
Rais Wa Malofa
raiswenu
Rais wa Arusha
Mkuu, hiyo no. 6 ni ya muhimu sana. Ni sahihi na ni haki na ni kweli kwamba wa jimbo Mbunge awe mwenyeji na mkazi wa jimbo husika, kwa manufaa ya jimbo na wanajimbo wawe na haki ya kumwondoa katika cheo hicho kama hatimizi mambo yao ya maendeleo waliojiwekea bila ya sababu ya msingi.Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
- Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
- Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
- Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
- Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
- Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
- Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
- Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
- Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Ndio Ukweli kwa 100% Mzee baba huu.
- Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
- Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
- Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
- Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
Mbunge akiwa anaishi jimboni atakuwa na kiu ya kuwapambania wananchiMkuu, hiyo no. 6 ni ya muhimu sana. Ni sahihi na ni haki na ni kweli kwamba wa jimbo Mbunge awe mwenyeji na mkazi wa jimbo husika, kwa manufaa ya jimbo na wanajimbo wawe na haki ya kumwondoa katika cheo hicho kama hatimizi mambo yao ya maendeleo waliojiwekea bila ya sababu ya msingi.
Ni kweli,Mbunge lazima awe Mbunge wa Jimbo la Mtaani na aishi MtaanikwetuMbunge akiwa anaishi jimboni atakuwa na kiu ya kuwapambania wananchi
Wewe ongea dhihaka unarusiwa ukicho kampumzike alafu urudi tena uendeleeNi kweli,Mbunge lazima awe Mbunge wa Jimbo la Mtaani na aishi Mtaanikwetu
Dhihaka gani tena Rais mtarajiwa? kwa hali hii wewe kweli utaweza kuvumilia upinzani na demokrasia za kwenye siasa?Wewe ongea dhihaka unarusiwa ukicho kampumzike alafu urudi tena uendelee
Aaah nimeshau wewe pia ni bingwa wa matusi na kutukana unarusiwa kuporomosha yale matusi yako
Nakubaliana na wewe. Hata Dennis ukisoma vizuri nia yake ni hiyo. Tubadili mfumo wa namna ya kuwapata viongozi wa mihimili muhimu kama mahakama, bunge na tume ya uchaguzi. Bila hivyo Tanzania yetu inazidi kuangamiaTatizo kubwa ni mfumo samia onaweza ondoka na akaja mtu mwingine mambo yakawa hayahaya
Tatizo ni kubwa sana zaidi ya tunavyoliona
Mbunge akichaguliwa akashindwa kutimiza majukumu anaweza kuwajibishwaNi ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
- Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
- Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
- Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
- Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
- Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
- Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
- Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
- Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
- Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Nimevumilia ndo maana hakuna sehemu yeyote ile nimekudhihakiDhihaka gani tena Rais mtarajiwa? kwa hali hii wewe kweli utaweza kuvumilia upinzani na demokrasia za kwenye siasa?
Punguza pia mishahara na marupurupu ya wabunge kutoka sh 16m hadi 4m.Kwa sababu hii nchi bado masikini.Nilipoajiriwa 1974 mishaha ya mawaziri na wakuu wa mikoa haikuzidi laki nne na walitumikia taifa kwa uzalendo gari zao za kazi zilikuwa landrover na pijo 504.Maendeleo hivi sasa ni ya viongozi badala ya watu.hii si laana?Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,