Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Katika kuhakikisha kuwa ccm inajengwa kuwa imara zaidi kwa kuwaamini vijana zaidi aliyekuwa spika wa baraza la wawakilishi zanzibar leo amepigwa chali na nafasi yake kushikwa na mh zuber Ali Maulid.
Kwa mantiki hiyo spika mpya wa baraza la wawakilishi ni zuber Ali Maulid ambapo alipata kura 55 kati ya kura zote zilizopigwa ambazo jumla yake ilikuwa 72,wakati huo pandu kificho akipata kura11 na mh janet sekiholo akipata kura 4 tu,huku kura mbili zikiharibika.