franc sixmundi
Member
- Jun 6, 2016
- 6
- 3
Ukiwa wahitaji mabadiliko katika nyenzo mbalimbali za maisha yapaswa kubadilika kwanza wewe na watanzania wanahitaji haki lakini wao hawataki wao kutenda haki, maendeleo ya kiuchumi lakini hawahitaji kutoa kodi
wanahitaji elimu bora na Tanzania ya wasomi lakini hawataki kuwapa huduma ya elimu watoto wao.
"Tubadilike Tanzania"
wanahitaji elimu bora na Tanzania ya wasomi lakini hawataki kuwapa huduma ya elimu watoto wao.
"Tubadilike Tanzania"