Fanya hivi Mpendwa wiki tu utaleta mrejesho pia uwe unanawa na maji ya baridi usitumie maji ya moto kabisa.Miezi sita mbona ni muda muafaka kabisa, ngoja tuanze hivi mazoezi ya kurudisha K unayafanya ukienda kukojoa kujoa na kubana mkojo kama dakika moja, endelea tena hivyo mpaka unamaliza unakuwa umebada kama mara tatu/nne. Utarudi na mrejesho. Ukikaa pia uwe unafanya mazoezi hayo mwenyewe bila hata ya kutoa haja ndogo.
Jaman mbon umenichekesha sanaNashukuru ww hujaja huku kuita watu vibamia na hapo ndo wenye mihogo yetu tunaonekanaga wa maana vitoto vyote vitakuambia kibamia raha sn wakishafungua watoto wawili ndo wanajuaga ahaaa kumbe mwanaume dudu..[emoji12] [HASHTAG]#ujinga[/HASHTAG] wangu mwenyewe haukuhusu..
Yaani hii ya maji ya baridi ndiyo nilitaka niongeze, ulaya wazazi wanapewa mkanda ulijazwa barafu ndani wanazungusha kiunoni na wanapona vizuri tu hawatumii maji ya moto.Fanya hivi Mpendwa wiki tu utaleta mrejesho pia uwe unanawa na maji ya baridi usitumie maji ya moto kabisa.
Utarudi vizuri kabisa,Mumeo kaamua zake kuchepuka tu sidhani kama Hiyo ndo sababu swala la kuzaa sio mchezo changes ni nyingi lazima mwanaume Aelewe baada ya muda unarudi kawaida.
Sikuwa na maana hiyo sorry nilikuwa na shauriJaman mbon umenichekesha sana
Aisee.... ukiinama hewa ikapita kuna madhara gani mkuu?Niliambiwa katika hali hiyo jitahidi sana kuepuka kuinama na kuchuchuma.
Ikijaa tumboni unaweza kushindwa kuihimili na ikatoka muda wowote sasa ukifikiria dignity yako hapo ni tatizo.Aisee.... ukiinama hewa ikapita kuna madhara gani mkuu?
Ahahaa..... Hii Kali kuliko mkuuIkijaa tumboni unaweza kushindwa kuihimili na ikatoka muda wowote sasa ukifikiria dignity yako hapo ni tatizo.
Umeona eeehAmepata kisingizio.
Hi naiona kama Mpya mwanamke akishajifungua k hurud katika hali yake ya awali ikiwa nikujikanda na maji ya uvuguvugu, inawezekana ulichanika ndan yan (tear) na hawakuona nakushona, hivyo jaribu kufanya zoez pia ukienda kwa Dactar Wa akina mama atakusaidia zaid afu jitahid wakat Wa tendo uwe unambanaWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Pole sana ndugu mimi nilishonwa nyuzi sita nilikua najiogopa lakini taratibu nilirud km nilivokua mwanzoNulichanika saaaana mkuu kama nyuzi nne hivi.
Sasa hiyo kitu ni kawaida kwa mwanamke ukisha zaa lazima Papuchi itanuke huo ni uzazi tu auzoeeWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!