Mabadiliko ya tuition fee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya tuition fee

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jerry de Marco, Sep 8, 2012.

 1. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomba kuuliza kuwa et tuition fee kwene coarse mbalimbali huwa ina badilika mwaka had mwaka? Mnaofaham naomben mawazo yenu
   
 2. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana yake,kwa uthibitisho zaid soma guided book ya 2010/2011,2011/2012 na 2012/2013 baadh ya coz fee imeongezeka.
   
 3. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mh inategemea na chuo,km ud mi tangu naanza mpk namaliza haikuchange na mpk nw haija change,kilichobadilika ni ada za hostel yan,mayb waamue saiv
   
 4. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa ninavyofahamu mimi na nilivyoona ni kuwa ada ambayo utaanza nayo ndo hiyo hiyo utamaliza nayo hata kama mwaka utakaofuata watapandisha au watashusha ada ya kwako uliyoanza nayo itabaki hivyo hivyo!
   
Loading...