Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
- Thread starter
- #61
Wanabodi
Hii ni makala ya Jumapili ya leo.
Kufanya mabadiliko yoyote ya sheria iliyotokana na vifungu vya katiba, bila ya kufanya kwanza mabadiliko ya katiba, ni sawa na kula bila kunawa!. Je Watanzania tuna njaa sana, na tuna haraka sana na uchaguzi ujao, hadi tukimbilie kula bila kunawa?
Paskali
Mkuu Ari. Arizona 1 , karibu mitaa hiiUmekuwa na nyuzi nyingi sana humu, je kuna Uzi wowote ambao ulijaribu kuadress chanzo cha haya (haki) kabla ya matokeo yenyewe! Hauna 'credibility' ya kushauri lolote Kwa sasa maana ulijikita ktk sifa na kujipendekeza Kwa watawala waovu.
P.