Elimu tunayosoma saivi ni kizuizi cha kufikirii na kwa wahitimu na nikikwazo cha ubunifu kwa vijana na hutengeneza vijana ambao ni tegemezii hawawezii kuona fursa katika jamii. Kuliko tuendelee kufundisha elimu ambayo inawajenga vijana kuajiriwa na kuwa tegemezii kwa taifa ni wakatii sasa wa kubadilii mfomo wa utoaji elimu ilii kutengeneza vijana wabunifu na wanaoweza kuona furuza katika jamii na kutatua changamoto katika jamii. Kinachotakiwa kufanyika ilii kutatua tatizo hilo ni:
1) Kuwe na lugha moja ya kufundishia
Hii hujenga uelewa zaidi kwani mtu hueelewa zaidi anapofundishiwa na lugha yake anayoitumia kila siku.ufundishaji wa Kiswahili shule ya msingi na kingereza sekondarii ni tatizo kubwa kwa elimu yetu ya tanzania kwani asilimia kubwa wanafunzi hukariri ilii kujibu mtihani kuliko kuelewa zaidi.
2) specialization.mfano kuliko kusoma masomo kumi secondary ,yanakuwa hayana maana sana kama mwisho wa siku anakwenda advance kusoma masomo matatu.watu wawe specific kuanzia form one .mtu anze kusoma kozi yake kama ni uhasibu ,ualimu,au udaktarii.ili iweze kumjenga kuwa mtaalamu au mbobezi wa taaluma yake.kwani nikitu cha kawaida saivi kumkuta mtu kasoma PCB alafu chuo kikuu anasoma uhasibu na hakuwa na misingi ya uhasibu huko nyuma.hivyo kuwa tambua vijana mapema kwamba wanaweza nini wa kawa specific mapema hii huongeza umahirii na ubunifu katika taaluma husika.
3) Ufundishajii uwe wa vitendo zaidii kuliko theory. Utoajii wa elimu uliopo ni wa theory zaidii kuliko vitendo na practically,hivyo wahitimu wengii wanaomaliza hawana ujuzi (skills)wa kutosha kukabiliana na changamoto katika jamii na kuona furusa katka jamii,kwani wakatii wanasoma walitengenezewa mazingira ya kuajiriwa zaidi kuliko kutengeneza ajira.
4) Wanafunzi wa vyuo vyikuu wawe wanafanya research zaidii kulingana na taaluma zao ilii waweze kuja na ubunifu wa mambo katika jamii.na pia washirikii katika kufanya research ya current disasters zinazotokea katika jamii.mfano janga la corona kuna wanachuo wanasoma mambo ya afya nini mawazo yao jinsi ya kukabiliana na corona.
5) Utoaji wa elimu yetu utambue vibaji na uwezo binafsi wa wanafunzi. Elimu yetu inauwa na kuficha vipaji vya wanafunzii walio wengi kwa kutopewa kipaumbele na nafasi ya kuonesha kipaji na thamanii ya vipaji. Kutokana na vipaji tulivyo navyo mtaani serekali ingethamini na kutambua uwepo wa hivyo vipaji na impact zake katika jamii na taifa kwa umjula,tungekuwa tunazungumzia Tanzania nyingine kabsa.
Hivyo basi, mabadiliko katika sector ya elimu nimuhimu zaidi kwa kutengeneza Tanzania inayoenda na mabadiliko ya sayansia na technologia.