MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,560
- 41,523
Nilikua napitia mada hii
Tujikumbushe bendi zetu za zamani miaka ya 80 na 90 mitindo yao na wanamuziki wake
Kisha nikaja kusoma hii
beats kali toka kwa p funk
kichwa kikaniuma baada ya kusoma huu uzi
tujikumbushe nyimbo kali za bongofleva zilizotamba
unajua kwa nini kiliniuma wakati huu ndio muda niliokua napata akili kipindi hiki asilimia kubwa kila mahali utakuta watu wanaimba
Mziki ulikua mziki naweza nikakaa ndani najiuliza niimbe nini ambacho Prof J hajaimba au Mr 2 hajaimba au Afande sele hajagusa ??
Sitaki kuwaongelea akina Jay mo and co hakuna walichoacha hakuna wasichokigusa
Ila kwasasa mambo ni tofauti
nashindwa kujua nchi yetu wasanii wake wanaimba nini watu wote wanataka kuimba kama mafikizolo kama dj cleo
kuna nyimbo mpya ya madee imetengenezwa na uhuru kama sikosei hii ni ladha ya south afrika kabisa acha hii ya chegge na temba mpya wapi tunaenda wapi tumekosea ?
Je ni kweli wote tunapenda akina davido wanavyoimba jibu rahisi ni hapana ni baadhi tu.
je kwanini tunawaiga ?
1)utumwa wa fikra kwamba wanachofanya wao ni kizuri kuliko chetu kitu ambacho ni uongo
2)Media zetu kuwapa mashavu wasanii wa nje badala yake swali je ushawahi kuisikia nyimbo ya prof j ikichezwa channel O mimi sijawahi kama umewahi niambie
bahati mbaya pesa inaonekana wakati mziki hakuna
hivi Kweli wakati prof j anaimba starehe hivi nani angeimba nataka kulewa ?
wakati sugu anaimba nipo mikononi mwa polisi kweli wewe unayemtafuta aliyemwaga pombe ungepata airplay radio gani ?
Wakati umepita na mambo yake na mziki wake ila zimekuja hela zimebadili mziki wetu hatuma tone ya mziki wetu nikisikia kwaito nitajua hii kwa madiba nikisikia mdundo huu najua hawa wanaija wanafanya yao
Ila Tanzania sijui ndio maana hata nikisililiza wimbo wa taifa mpaka nisikie wakiimba ndip nijue ni wa nchi yangu
karibu tujadili