Mabadiliko ya Mama Mjamzito, yananichanganya

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Habari za mda huu wadau!

Mungu amejalia wife kitumbo kimejaa,sasa changamoto inayonikumba ni haya mabadiliko yake ya kila siku naomba msaada wa mawazo ama njia gani tutumie
1. Kula amekua hataki kabisa na kama akila basi ni kidogo sana afu anajilaza hii inaendana na kutokunywa maji kabisa inaweza kupita siku maji ya kunywa asiyaguse kabisa

2.Akiwa amelala anakua ana weweseka/kushtuka sana japo yeye mwenyewe anakua hajui

3.Kila mara anasema mapigo ya moyo yanamuenda mbio kama vile ametoka kukimbia

4.Muda wote yeye anakua amechoka hata alale kiasi gani akiamka utasikia nimechoka sana sasa ni kawaida kwa wenye ujauzito au kutakua na tatizo?

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mimba ndivyo zilivyo;
1.Hyo ni hali ya kawaida kutokupenda kula kuna kipindi atakua anakula sana mfano miye Mimba ikiwa changa sisikii njaa kutwa nzima naweza shinda bila kula kabisaa..ila najitahidi kula kidogo

2.usingizi nnalalaa kama pono naweza lala muda wotee!!
 
Habari za mda huu wadau
Mungu amejalia wife kitumbo kimejaa,sasa changamoto inayonikumba ni haya mabadiliko yake ya kila siku naomba msaada wa mawazo ama njia gani tutumie
1. Kula amekua hataki kabisa na kama akila basi ni kidogo sana afu anajilaza hii inaendana na kutokunywa maji kabisa inaweza kupita siku maji ya kunywa asiyaguse kabisa

2.Akiwa amelala anakua ana weweseka/kushtuka sana japo yeye mwenyewe anakua hajui

3.Kila mara anasema mapigo ya moyo yanamuenda mbio kama vile ametoka kukimbia

4.Muda wote yeye anakua amechoka hata alale kiasi gani akiamka utasikia nimechoka sana sasa ni kawaida kwa wenye ujauzito au kutakua na tatizo?

Natanguliza shukrani zangu za dhati
Anywe chai ya Tangawizi itamsaidia kuleta hamu ya kula na pia kumuondolea kichefuchefu na mwili wake kuchoka choka na msisitize awe anakunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi ili aweze kupata nguvu . Na umepeleke kwa Daktari akapimwe damu pia.
 
ta

Tangawizi amekatazwa kutokana ana vidonda vya tumbo so inamleta madhara zaid,nitaanza kumjaribisha maji ya vuugu vugu ila maji kawaida hawezi kabisa hata nikiweka matunda ndani ndo hayapiti kabisa, akinywa tu lazima arudishe chenchi.

Vipimo vya damu na kila kitu nilicheki nae muhimbili pale kila kitu kipo sawa alhamdullilah
 
Akiingia kipindi cha pili cha ujauzito atakua poa tu, hata mimi kipindi cha kwanza nilisumbuka kidogo nikisikia harufu ya kitunguu kikikaangwa basi sili siku nzima,,,Hahahahaha! Kitumbo kikikua atakua anakula mpaka mwenyewe utashangaa
 
ta

Tangawizi amekatazwa kutokana ana vidonda vya tumbo so inamleta madhara zaid,nitaanza kumjaribisha maji ya vuugu vugu ila maji kawaida hawezi kabisa hata nikiweka matunda ndani ndo hayapiti kabisa, akinywa tu lazima arudishe chenchi.Vipimo vya damu na kila kitu nilicheki nae muhimbili pale kila kitu kipo sawa alhamdullilah
Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo ninayo ukihitaji dawa nitafute kwa wakati wako.
 
.... Unapokuwa mzazi aisee ndo unapogundua ulikuwa boya sana kama uliwahi kuwasumbua wazazi wako.

Unanyookaga tu naturally.

Allah awajaalie pepo wazazi wetu Ya Rabbi. Walio hai na walio tangulia.
 
Alafu anapatikana mwanamke,kisa anajiona anaelimu, nimzuri ,aje alete mitabia yake mibovu kwa wazazi wangu ?? Siku iyo iyo ,yeye ,makalio yake,elimu yake, uzuri wake ,ataenda anakokujua.

Na nashukuru sana Mungu. Alinipa roho fulan ivi yakipekee ,ninamsimamo na ninasimia maamuzi yangu, yawe nimaamuzi ya haraka ,au yakufikiria sanaaa huwa siyabadili. Ili mradi pameguswa pasipositahili .
 
Kama hali vizuri, hanywi maji ya kutosha, hapumziki vizuri hizo nguvu atazitoa wapi...

Mwambie aache utoto na afuate maelekezo ya clinic kama kweli anahudhuria... akiwa mbishi atakuja kupata tabu...

Cc: mahondaw
 
Alafu anapatikana mwanamke,kisa anajiona anaelimu, nimzuri ,aje alete mitabia yake mibovu kwa wazazi wangu ?? Siku iyo iyo ,yeye ,makalio yake,elimu yake, uzuri wake ,ataenda anakokujua.

Na nashukuru sana Mungu. Alinipa roho fulan ivi yakipekee ,ninamsimamo na ninasimia maamuzi yangu, yawe nimaamuzi ya haraka ,au yakufikiria sanaaa huwa siyabadili. Ili mradi pameguswa pasipositahili .

Afu aje mwanamme, atake kunichezea na kunionja onja huku akiangalia kama nafaa kwa matumizi yake na ya ukoo wao wakati wazazi wangu wamenilea vizuri wakanisomesha na kunifundisha hadhi ya mwanamke huku nikielewa vizuri zuri na baya, hapana.
 
Umetisha ila uko sahihi
 
Akiingia kipindi cha pili cha ujauzito atakua poa tu, hata mimi kipindi cha kwanza nilisumbuka kidogo nikisikia harufu ya kitunguu kikikaangwa basi sili siku nzima,,,Hahahahaha! Kitumbo kikikua atakua anakula mpaka mwenyewe utashangaa
kwa kweli heshima kwenu kina wanawake wote, mnayoyapitia si mchezo
 
Alafu anapatikana mwanamke,kisa anajiona anaelimu, nimzuri ,aje alete mitabia yake mibovu kwa wazazi wangu ?? Siku iyo iyo ,yeye ,makalio yake,elimu yake, uzuri wake ,ataenda anakokujua.

Na nashukuru sana Mungu. Alinipa roho fulan ivi yakipekee ,ninamsimamo na ninasimia maamuzi yangu, yawe nimaamuzi ya haraka ,au yakufikiria sanaaa huwa siyabadili. Ili mradi pameguswa pasipositahili .
Je kama kweli wao ndo wana shida mkuu,hii hutokea, cha msingi chunguza tatizo kwanza kabla yakuhukumu teyote, pia kumbuka hata huyo mke wazazi wake walipata shida kumlea
 
Ndo sasa kila mmoja awe na makini nakila upande

Mimi najua wazazi wangu siku zote wako sahihi, wakikosea basi kuna sababu yake...maana kwa mzazi mwenye akili hawezi kua sehem ya ugomv kwa watoto wake
 
Mmmh kumbe wazazio wako sahihi siku zote, hongera sana maana hiyo ni neema
 
Habari za mda huu wadau
Mungu amejalia wife kitumbo kimejaa,sasa changamoto inayonikumba ni haya mabadiliko yake ya kila siku naomba msaada wa mawazo ama njia gani tutumie
1. Kula amekua hataki kabisa na kama akila basi ni kidogo sana afu anajilaza hii inaendana na kutokunywa maji kabisa inaweza kupita siku maji ya kunywa asiyaguse kabisa

2.Akiwa amelala anakua ana weweseka/kushtuka sana japo yeye mwenyewe anakua hajui

3.Kila mara anasema mapigo ya moyo yanamuenda mbio kama vile ametoka kukimbia

4.Muda wote yeye anakua amechoka hata alale kiasi gani akiamka utasikia nimechoka sana sasa ni kawaida kwa wenye ujauzito au kutakua na tatizo?

Natanguliza shukrani zangu za dhati
Mshauri aikatae hiyo hali ,asiiendekeze na afanye mazoezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom