MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

Tena siku ile walitishwa kidogo tuuu( tawanyikeni kwa amani!) wakakubali kuachia ushindi wa Uraisi wa nchi tunayoitawala ( Zenyi),

kaka haina haja ya yote hayo!

sis wote wapinzani na siku zote mnapokua na missunderstand wenyewe kwa wenyewe mafanikio pia huwa yanaka mbali nasi.

Zanzibar ni kisiwa kidogo broo hawana pa kukimbilia as you said tumewatawala na ito population yao ni sawa au pia imezidiwa na jeshi letu la tanzania.

kwa mimi binafsi namsifu maalim seif kwa kua mjasiri na mvumilivu kwa kipindi kirefu sana, pia naamini muungano wao huu ni njia ya usalama kuikwaa nchi yao na kutukimbia sisi watawala watawaliwa.
 
sasa wanandoa hao wa CCM wangepigwa Virungu na nani? , hata hivyo madai ya police kupigwa chenga sio kweli maana usalama wataifa upo nao ndio waliojifanya wanapita kwingine hata hivyo ukiangalia picha kati yao na police, police walisalimu amri kuwapiga wenzao CCM B Aka CUF wanandoa au mwanandani CCM-A
 
nadhani Julius Mtatiro anajaribu uhaini! Haiwezekani Mkwere a.k.a Msafiri/Traveller amekaa ofisini na kutoa kauli kama sirikali ya uyo mkwere na mwanandoa Maalim kwa kuwaagiza polisi kuwa wanandoa Cuf wasiandamane,je uyu mtatiro anapata wapi nguvu ya kumpinga Maalim/serikali kuwa watalazimisha kuandamana?uo si ukorofi dhidi ya serikali ya ccm A and B? B=CUF! Wanazuga hawa! Vp tena gari za polisi zimezima maandamano ila mtatiro anapenya na kupeleka rasimu kwa kombani?alipenyaje!au jasusi nini? Alaf anampa komban aliyesema "walai naapa,hapa ni viraka kwa kwenda mbele,hamna cha katiba mpya" sasa rasimu mwampa ya nini? Ukishangaa ya bara utayaona ya zenj!
 
Back
Top Bottom