MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CUF-TZ-Bara.

Kivia

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
278
32
CUF ndo chama peke chenye msimamo na ndio kitakacholeta mabadiliko-hadi katiba mpya. Wanachama wake huwa ni watiifu na hujitoa saana ktk maandamano. CHADEMA wanachama wao huwa ni waoga na wakitishwa kidogo tu na polisi huwa hawajitokezi kwa maandamano. "HONGERA CUF KWA MAANDAMANO YA KUWAS rasim ya katiba mpya"
 
Hongera kwa wanachama (CUF) wote na wananchi waliojitokeza kufanya maandamano ya kukabidhi Rasimu ya katiba mpya. Lakini viongozi ni bora wawe wanaambatana na wananchi katika maandamano. Husaidia kutuliza watu endapo tukio lisilotalajiwa litatokea wakati wa maandamano.

Je jeshi la polisi limeona tatizo gani kwa haya maandamano mpaka liwapige mabomu ya machozi?

Haya cuf, ndio italeta mabadiliko tz bara bila kutumia viongozi wake waliokaa ofisini, huku wafuasi wao wakipigwa mabomu na polisi
 
Hongera kwa wanachama (CUF) wote na wananchi waliojitokeza kufanya maandamano ya kukabidhi Rasimu ya katiba mpya. Lakini viongozi ni bora wawe wanaambatana na wananchi katika maandamano. Husaidia kutuliza watu endapo tukio lisilotalajiwa litatokea wakati wa maandamano.

Je jeshi la polisi limeona tatizo gani kwa haya maandamano mpaka liwapige mabomu ya machozi?

pongezi na wewe kwa kuwatoa kafara wenzako.... ukisikilizia ulipo nini kitatokea..... nahisi wewe si mwanaharakati.... ulitakiwa kutuelezea live yaliyojiri katika maandamano hayo.... kumbe umetake cover kama Maalim SFH na Prof. IL.... hongera kwa unafiki
 
Wanaoshirikiana na nguruwe kula shamba????? I doubt it.
Heroism on command, senseless violence, and all the loathsome nonsense that goes by the name of patriotism - how passionately I hate them!

haikufaa rangi,
Je itafaa chokaa?

CUF wasubiri kuonja futari mwezi wa Ramadhani tu.
 
MSIWABEZE CUF, NA SIO LAZIMA VIONGOZI WOTE WAHUDHURIE MAANDAMANO MTATIRO ALITOSHA KUWAKIlisha. Je Ni Chama gani kingine kimeshawahi kufanya maandamano hapa tz zaidi ya CUF ? "CUF BADO NDIO Chama cha upinzani chenye muelekeo.
 
Hao CUF hawana lolote kwani ni vibaraka wa CCM.Mbona wakati wa kusaka mapinduzi ya kweli kwenye uchaguzi mkuu waliwasaliti wapinzani wenzao na kwenda upande wa CCM.Swala la rasimu ya Katiba mpya si hoja ya Cuf tu ila hata vigogo wa ccm wamependekeza hilo.Hivyo CUF hawana jipya zaidi ya kuwa vibaraka wa ccm wanatuzeshea cheusi chekundu
 
HAKUNA UNAFIKI WANA DHATI YA KWELÍ. UNAFIKI UPO CHADEMA- wanakubaliana kususia hotuba ya kikwete hapo hapo wanapingana, week moja TUMEMTAMBUA KIKWETE[no msimamo] NGOJA NIWAKUMBUSHE "CUF" walisusia kutomtambua Rais SALMIN-miaka 4, na wawakilishi waligoma kuingia barazani na walikosa hata POSHO ZAO NA WALIBAKI NA MSIMAMO ULEULE. Sio chadema na kina zitto wenu na unafiki.
 
Hao walisha olewa (tena ndoa ya mkeka) na CCM hivyo hawawezi kumpinga mmeo wao kwa lolote
 
Si kweli hizo ni fikra potofu kwako.ninaamini kuna kitu kinatafuna mindset yako.mabadiliko ya kweli yataletwa na watanzania wenyewe na si chama chochote cha siasa kama unavyodhani.
 
Wanaoshirikiana na nguruwe kula shamba????? I doubt it.
Heroism on command, senseless violence, and all the loathsome nonsense that goes by the name of patriotism - how passionately I hate them!

Dah! broo unapotea, katika kitu ambacho tunapigania hata sisi chadema ni mabadilko ikiwemo kuondoa umwinyi wa katiba kukipa chama tawala uwezo kutawala pekeyake hata kama imeshinda kwa tofauti ya kura moja.

kwa maana hiyo huenda nasisi kikatiba tukashirikiana na hawa nguruwe ndugu yangu sawa?

ni mfumo wa kidemocrasia ulokubalika kimataifa usijali ndugu yangu angalia nchi kama Kenya na Zimbabwe.
 
Hakuna chama Kama CUF hujui kuna muafaka? Hao ni CCM B na changa la macho! Chama gani ofisi kwa misikiti?
 
HAKUNA UNAFIKI WANA DHATI YA KWELÍ. UNAFIKI UPO CHADEMA- wanakubaliana kususia hotuba ya kikwete hapo hapo wanapingana, week moja TUMEMTAMBUA KIKWETE[no msimamo] NGOJA NIWAKUMBUSHE "CUF" walisusia kutomtambua Rais SALMIN-miaka 4, na wawakilishi waligoma kuingia barazani na walikosa hata POSHO ZAO NA WALIBAKI NA MSIMAMO ULEULE. Sio chadema na kina zitto wenu na unafiki.

oya acheni ushabiki wa ajabu! mnapobishana wapinzani kwa wapinzani mnakua mnawapa hawa mazalimu mwanya wa kuendelea kutukandamiza. lets support each other, big up CUF but i hope wabunge wenu pia wataikubali rasimu yetu ya katiba itakayowasilishwa bungeni, apo tuko sawa au vipi broo.
 
Wameshindwa Zanzibar waweze bara !!!!!!!!!!!!!!? Pamoja na muafaka bado hawana tume huru na ushindi wao wa raisi uliporwa tena huku wamengaa macho
 
Tena siku ile walitishwa kidogo tuuu( tawanyikeni kwa amani!) wakakubali kuachia ushindi wa Uraisi wa nchi tunayoitawala ( Zenyi),
 
Hakuna chama Kama CUF hujui kuna muafaka? Hao ni CCM B na changa la macho! Chama gani ofisi kwa misikiti?

kaka punguza jazba CUF pia wapinzani kama sisi labda njia walizopitia wewe binafsi hurdhiki nazo lakini ni njia ambazo zinatumiwa na mataifa mbali mbali hasa ya kiafrika kwa kujua Vyama tawala havikubali kutoka madarakani kidemocrasia angalia Kenya na Zimbabwe.

mimi ni Chadema sina uhakika kama CUF ofisi zao msikitini but naijua ile ya Buguruni ambayo ni makao makuu.
 
Utawajua CU..F kwa kuvaa ngozi ya kondoo na kumbee ni nguruwe mwituu tuu
 
Back
Top Bottom