Mabadiliko ya kweli Tanzania yatapatikana iwapo tu viongozi waliofanya mauaji watashtakiwa ICC na Mahakama nyinginezo za nje

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Amani iwe nanyi Wanabodi.

Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli.

Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana.

Wanaotegemea CCM hii ya leo itabadilika na kuacha kiburi, kulewa madaraka, ukatili na mauaji kisha kuwapa Watanzania Katiba bora inayosimika mifumo imara bila Viongozi wa CCM kuwa kwenye hofu ya kufungwa jela na kushtakiwa basi wanajidanganya sana.

Wanaotegemea Viongozi wa Serikali hii ya CCM watabadilika na kutenda haki huku wakiweka maslahi ya Wananchi mbele bila kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawaonea huruma maana wanajidanganya sana.

Wanaotegemea nchi hii itakuwa bora kama nchi yenye haki na maisha bora kwa kila Mwananchi bila Viongozi na Watendaji wa Serikalini kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawaonea huruma maana wanajidanganya sana.

CCM ilipofika wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Tanzania. Wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Watanzania. Chochote unachowaambia leo kamwe hawatakifanyia kazi endapo wataona kiko kinyume na maslahi yao haijalishi kinawanufaisha kwa kiasi gani Watanzania wa kawaida. Kwa msingi huu ndo mana nawaonea huruma sana wanaodhani nchi hii itapata Katiba bora chini ya CCM hii ambayo haijapata sababu ya kuogopa na kuhisi kuna umuhimu wa Katiba bora.

Kati ya jambo ambalo Watanzania tunapaswa kumshukuru Mungu ingawa limetuumiza hakika ni Mauaji yaliyofanywa na Samia na Serikali yake katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana.

Mauaji yale yameweka uwezekano kutokea jambo moja tu ambalo linaweza kuwapa CCM na Samia hofu ya kweli na hivyo kutusikiliza Wananchi na Matakwa yetu. Jambo hilo ni hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela (Uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela)

Pamoja na kiburi na ujanja wao wote, Samia na CCM yake hofu pekee inayoweza kuwatuliza na kuwafanya wawasikilize kweli Wananchi ni suala la kushtakiwa na kufungwa jela.

Kwa sababu hizo Watanzania hatuna budi kuyatumia mauaji yaliyofanya na Samia, Serikali yake na CCM yake kama suala kuu ambalo linaenda kubadili mustakabali wa Taifa letu. Kwa njia zozote zile tunapaswa kufanya kila liwezekanalo sio tu Samia na washirika wake wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa ICC bali pia Wanatolewa hati za Kukamatwa na Mahakama nyingine zilizopo maeneo mbalimbali Duniani ikiwemo Marekani na Mataifa ya Ulaya.

Samia, CCM na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama hawatatishwa na vikwazo vya kusafiri au kiuchumi au vya kununua silaha, hawatatishwa na wito mwingine wa maandamano au migomo au kelele tunazopiga humu, mitaani na kwenye social media's ( zaidi ya kutingishwa kidogo tu). Jambo pekee la kuwatisha na kuwafanya warudi nyuma na kutusikiliza Wananchi ni uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela tu.

Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate na kuwafikisha katika Mahakama hizo.

Kupitia haya ni lazima Wananchi tutasikilizwa kweli, kutendewa haki kweli na Taifa letu litapata Katiba Mpya iliyo bora kweli.
 
Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate ba kuwafikisha katika Mahakama hizo." 📌🔨
 
Amani iwe nanyi Wanabodi.

Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana.

Wanaotegemea CCM hii ya leo itabadilika na kuacha kulewa madaraka kisha kuwapa Watanzania Katiba bora inayosimika mifumo imara bila Viongozi wa CCM kuwa kwenye hofu ya kufungwa jela na kushtakiwa basi wanajidanganya sana.

Wanaotegemea Viongozi wa Serikali hii ya CCM watabadilika na kutenda haki huku wakiweka maslahi ya Wananchi mbele bila kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawaonea huruma maana wanajidanganya sana.

Wanaotegemea nchi hii itakuwa bora kama nchi yenye haki na maisha bora kwa kila Mwananchi bila Viongozi na Watendaji wa Serikalini kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawwaonea huruma maana wanajidanganya sana.

CCM ilipopofika wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Tanzania. Wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Watanzania. Chochote unachowaambia leo kamwe hawatakifanyia kazi endapo wataona kiko kinyume na maslahi yao haijalishi kinawanufaisha kwa kiasi gani Watanzania wa kawaida. Kwa msingi huu ndo mana nawaonea huruma sana wanodhani nchi hii itapata Katiba bora chini ya CCM hii ambayo haijapata sababu ya kuogopa na kuhisi kuna umuhimu wa Katiba bora.

Kati ya jambo ambalo Watanzania tunapaswa kumshukuru Mungu ingawa limetuumiza hakika ni Mauaji yaliyofanywa na Samia na Serikali yake katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana.

Mauaji yale yameweka uwezekano kutokea jambo moja tu ambalo linaweza kuwapa CCM na Samia hofu ya kweli na hivyo kutusikiliza Wananchi na Matakwa yetu. Jambo hilo ni hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela (Uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela)

Pamoja na kiburi na ujanja wao wote, Samia na CCM yake hofu peeke inayoweza kuwatuliza na kuwafanya wawasikilize kweli Wananchi ni suala la kushtakiwa na kufungwa jela.

Kwa sababu hizo Watanzania hatuna budi kuyatumia mauaji yaliyofanya na Samia, Serikali yake na CCM yake kama suala kuu ambalo linaenda kubadili mustakabali wa Taifa letu. Kwa njia zozote zile tunapaswa kufanya kila liwezekanalo sio tu Samia na washirika wake wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa ICC bali pia Wanatolewa hati za Kukamatwa na Mahakama nyingine zilizopo maeneo mbalimbali Duniani ikiwemo Marekani na Mataifa ya Ulaya.

Samia, CCM na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama hawatatishwa na vikwazo vya kusafiri au kiuchumi au vya kununua silaha, jambo peeke la kuwatisha na kuwafanya warudi nyuma na kutusikiliza Wananchi ni uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela tu.

Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate ba kuwafikisha katika Mahakama hizo.

Kupitia haya ni lazima Wananchi tutasikilizwa kweli, kutendewa haki kweli na Taifa letu litapata Katiba Mpya iliyo bora kweli.
Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate ba kuwafikisha katika Mahakama hizo." 📌🔨
 
*Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate ba kuwafikisha katika Mahakama hizo." 📌🔨
Hili ndo suala pekee linaloweza kutufanya tupate mabadiliko ya kweli hapa nchini.
 
Ikiwa tu Watz wataungana na wakuwa wamoja na kuweka tofauti zao pembeni, kwa kufanya hivi haya yote yatawezekana.
 
Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate ba kuwafikisha katika Mahakama hizo." 📌🔨
Kwa sasa nguvu zetu zote ziende huku
 
Tupambane kwa jasho la damu huyu bibi na wauaji wenzake watolewe hati za kukamatwa na Mahakama za Nje ili Taifa litengeneze precedent kuwa Wananchi wa hii nchi hawapaswi kuchezewa na kudharauliwa tena.
Unaposema wananchi wameuwawa useme pia kwamba wengi wao walikuwa vibaka waliochoma moto mali za watu waliotaka kuichoma moto bandari na mali nyingine binafsi na za serikali.

Useme pia hao waliouliwa walikata vidole vya watu, walijidanganya kwamba wao wana haki kuliko watanzania wengi wakati ni vijana wadogo tu ambao hawajafika hata miaka 30.

Haki ni ya kila mtu msijidanganye kwamba nyinyi mna haki kuzidi kila mtu ndani ya JMT.

Mtake kuipindua nchi kizembe halafu mnapodhibitiwa haraka sana mnakimbilia kujiliza huko ICC.

Sio shughuli ndogo kumshtaki Rais wa nchi aliyekuwa anaweka sawa nidhamu katika nchi anayoiongoza.
 
Amani iwe nanyi Wanabodi.

Leo napenda kuwaambia ukweli mchungu sana ambao inabidi tuupokee na kuufanyia kazi kweli.

Wanaotegemea Samia atabadilika na kuwa Kiongozi mwema atakayewapa Watanzania haki zao bila kuwepo kwa shinikizo (hofu) la kushtakiwa na kufungwa jela nawaonea huruma sana.

Wanaotegemea CCM hii ya leo itabadilika na kuacha kiburi, kulewa madaraka, ukatili na mauaji kisha kuwapa Watanzania Katiba bora inayosimika mifumo imara bila Viongozi wa CCM kuwa kwenye hofu ya kufungwa jela na kushtakiwa basi wanajidanganya sana.

Wanaotegemea Viongozi wa Serikali hii ya CCM watabadilika na kutenda haki huku wakiweka maslahi ya Wananchi mbele bila kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawaonea huruma maana wanajidanganya sana.

Wanaotegemea nchi hii itakuwa bora kama nchi yenye haki na maisha bora kwa kila Mwananchi bila Viongozi na Watendaji wa Serikalini kuwa na hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela basi nawaonea huruma maana wanajidanganya sana.

CCM ilipofika wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Tanzania. Wanajiona wao ndo wenye hatimiliki ya Watanzania. Chochote unachowaambia leo kamwe hawatakifanyia kazi endapo wataona kiko kinyume na maslahi yao haijalishi kinawanufaisha kwa kiasi gani Watanzania wa kawaida. Kwa msingi huu ndo mana nawaonea huruma sana wanodhani nchi hii itapata Katiba bora chini ya CCM hii ambayo haijapata sababu ya kuogopa na kuhisi kuna umuhimu wa Katiba bora.

Kati ya jambo ambalo Watanzania tunapaswa kumshukuru Mungu ingawa limetuumiza hakika ni Mauaji yaliyofanywa na Samia na Serikali yake katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana.

Mauaji yale yameweka uwezekano kutokea jambo moja tu ambalo linaweza kuwapa CCM na Samia hofu ya kweli na hivyo kutusikiliza Wananchi na Matakwa yetu. Jambo hilo ni hofu ya kushtakiwa na kufungwa jela (Uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela)

Pamoja na kiburi na ujanja wao wote, Samia na CCM yake hofu pekee inayoweza kuwatuliza na kuwafanya wawasikilize kweli Wananchi ni suala la kushtakiwa na kufungwa jela.

Kwa sababu hizo Watanzania hatuna budi kuyatumia mauaji yaliyofanya na Samia, Serikali yake na CCM yake kama suala kuu ambalo linaenda kubadili mustakabali wa Taifa letu. Kwa njia zozote zile tunapaswa kufanya kila liwezekanalo sio tu Samia na washirika wake wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa ICC bali pia Wanatolewa hati za Kukamatwa na Mahakama nyingine zilizopo maeneo mbalimbali Duniani ikiwemo Marekani na Mataifa ya Ulaya.

Samia, CCM na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama hawatatishwa na vikwazo vya kusafiri au kiuchumi au vya kununua silaha, hawatatishwa na wito mwingine wa maandamano au migomo au kelele tunazopiga humu, mitaani na kwenye social media's ( zaidi ya kutingishwa kidogo tu). Jambo pekee la kuwatisha na kuwafanya warudi nyuma na kutusikiliza Wananchi ni uwezekano wa kushtakiwa na kufungwa jela tu.

Wito wangu kwa Watanzania tuliopo ndani ya nchi na wengineo mliopo nje ya nchi, Vyovyote vile katika mwaka huu wa 2026 tuhakikishe Samia na Washirika wake wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC, Mahakama yeyote ya Marekani au Mahakama yeyote katika Taifa lolote la Ulaya alafu tushughulikie kuzishurutisha nchi hizo wawakamate na kuwafikisha katika Mahakama hizo.

Kupitia haya ni lazima Wananchi tutasikilizwa kweli, kutendewa haki kweli na Taifa letu litapata Katiba Mpya iliyo bora kweli.
icc wanasemaje uko
 
Unaposema wananchi wameuwawa useme pia kwamba wengi wao walikuwa vibaka waliochoma moto mali za watu waliotaka kuichoma moto bandari na mali nyingine binafsi na za serikali.

Useme pia hao waliouliwa walikata vidole vya watu, walijidanganya kwamba wao wana haki kuliko watanzania wengi wakati ni vijana wadogo tu ambao hawajafika hata miaka 30.

Haki ni ya kila mtu msijidanganye kwamba nyinyi mna haki kuzidi kila mtu ndani ya JMT.

Mtake kuipindua nchi kizembe halafu mnapodhibitiwa haraka sana mnakimbilia kujiliza huko ICC.

Sio shughuli ndogo kumshtaki Rais wa nchi aliyekuwa anaweka sawa nidhamu katika nchi anayoiongoza.
Nani kakwambia adhabu ya kibaka ni kuuwawa?

Kupindua nchi ni nini?

Kwa nini katika inasema mtu akifanya kosa akamatwe na kushtakiwa? Kwa nini haikusema auwawe?

Kwa nini Sheria za Kimataifa zinasema mkosaje akamatwe na kufikishwa Mahakamani na sio kuuwawa?

Kwa maneno yenu mnaonesha kabisa kuwa mmeua Watanganyika wenzetu kwa makusudi na hamjutii makes yenu.

Safari hii lazima kiwalambe huko ICC. Mtaelewa kwa nini Duterte nae amefikishwa huko kwa kuwaua wahusika wa dawa za kulevya badala ya kuwafikisha Mahakamani.
 
Kila siku nakwambia wewe bado mtoto, watu wangapi wasio na hatia wanauliwa kila siku huko DRC na Somalia mataifa yenye machafuko yasiyoisha?.

Utamkamata mtu anayekata vidole watu siku ya uchaguzi mkuu?. Hapakuwa na maandamano palikuwa na uasi uliotaka nchi isitawalike, mapolisi walikuwa wanauzima huo uasi.

Utakamata watu elifu moja wanaochoma moto vituo vya mwendokasi na kubomoa maduka ya Sinza huku wakichukua kila kitu kilichomo ndani?.

Utakamara watu elfu mbili wanaovunja Bar za Tabata na kuiba kila kinywaji na kila chenye kuweza kubebeka, yale hayakuwa maandamano yalikuwa machafuko.

Mlitaka kupimana nguvu na dola, kosa kubwa sana mlifanya. Kumbukeni hampo juu ya sheria.
 
Hayo mnayotunga mtajitetea huko kwenye kesi yenu ICC na Mahakama nyinginezo.

Utaelewa pia kwa nini wengine wanafikishwa kwenye hizo Mahakama na wengine hawafikishwi.

It's just a matter of time. Utaelewa kama mimi ni mtoto mdogo au mtu mzima.
 
Kila siku nakwambia wewe bado mtoto, watu wangapi wasio na hatia wanauliwa kila siku huko DRC na Somalia mataifa yenye machafuko yasiyoisha?.

Utamkamata mtu anayekata vidole watu siku ya uchaguzi mkuu?. Hapakuwa na maandamano palikuwa na uasi uliotaka nchi isitawalike, mapolisi walikuwa wanauzima huo uasi.

Utakamata watu elifu moja wanaochoma moto vituo vya mwendokasi na kubomoa maduka ya Sinza huku wakichukua kila kitu kilichomo ndani?.

Utakamara watu elfu mbili wanaovunja Bar za Tabata na kuiba kila kinywaji na kila chenye kuweza kubebeka, yale hayakuwa maandamano yalikuwa machafuko.

Mlitaka kupimana nguvu na dola, kosa kubwa sana mlifanya. Kumbukeni hampo juu ya sheria.
Wangewapiga hata risasi za mguu sio kichwani dah, yale mauaji yanaumiza mkuu, kila nikiona tu video zake najisikia vibaya sana, furaha yote inaisha
 
Lissu aliahidi kukinukisha tarehe 29 October, hayakuwa maandamano yale. Yalikuwa na mpango mwingine mbaya sana wa siri.

Wale wajinga walitaka kuiga yale ya Madagascar na Sri Lanka, kwamba wafanye fujo mpaka waingie ikulu halafu waanze kutuma video wakiwa wamelalia vitanda na wengine wakikimbiakimbia kwenye korido za mle ndani!. Walikuwa na njozi fulani ya kitoto vichwani mwao.

Hayakuwa maandamano walitaka kupimana ubavu na dola, kosa kubwa sana.
 
Sasa ndio uue watu kweli? Tena randomly bila kujali unaandamana au la. Kama wangepiga watu risasi za mguu wasingeweza kuendelea na maandamano lakini waliwapiga kichwani, maana yake lengo lilikuwa ni kuwaua kabisa
 
Back
Top Bottom