Mabadiliko ya binadamu...

nikiangalia avatar yako na hicho ulichokipost napata picha fulani ...... N'way ni vema umetuweka wazi juu ya hatua mnazopitia wewe na familia yako.

kwa hivyo weye sio binadamu au vipi?
 
yetu yako wewe na wazazi wako.
Salaam mkuu nimeona location yako hapan shaka waweza kuwa na habari kuhusu sehem inayoitwa kitimbiriu(lango la mbinguni)sehemu ambayo inasemekena ndio mwafrika wa kwanza alibatizwa hapo kwenye chem chem au water falls.
waweza pata picha ya hiyo sehem tafaadhali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…