Tetesi: Mabadiliko/Uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa Yaja

Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe
Hakuna lolote mbona Nape alishasemwa karibia miezi kaza nyuma kuwa mkulu anataka kumtumbua nailiongelewa sana hapa jf naikaja kutokea kweli amemtumbua hajambua? Nachowapendea waTz wana maono ya ukweli sana sijuhi wanakuwaga ndani ya moyo wa mkulu?
 
Yule wa Arusha amejistukia

Maana alikuwa anapishana na watu kwenye korido bila hata salamu km sio mkuu wa mkoa vile
 
Bashite aende simiyu? Uko kuna WCB Clouds Azamtv uko wapo akina kajala na masogange?...Mh wa Simiyu anafanya mambo makubwa sana wakimtoa pale natabiri kuna watu wataandamana jamaa yuko vizuri sana huwez linganisha na akina bashite na gambo hebu .. bashite yeye asubiri maziko yake uko uko dsm
 
nikimtazama Bashite nacheka najiuliza season 4-7 za madawa ya kulevya zimeishia wapi! alafu mwakani matokeo ya form 4 yakiwa tena mabaya atakuja na kiki gani na media zimemtosa?
 

Chonde chonde mabadiliko yasiguse tanga tafwazali sana
 
Mhe rais hataki kupangiwa kabisa alishasema.sasa kama umezinyapia nyapia ziwe za kweli au zisiwe za kweli ndo kwanza atabadir kabisa na kama alikuwa na nia hiyo na ww ushakurupuka hapo ndo anaacha kabisa kufanya mabadiriko.
 
Kweli kabisa mkuu yaani hawa watu wa tetesi ndio wanaochelewesha Bashite kutolewa Dar . Maana mkulu nahisi humu ana ID yake au anasoma kama guest bila kulog in ili ajue kama hizi tetesi zimeshavuja ili asitishe mambo yanayokuwa predicted.
Huendae mleta Mada ndiye bashite mwenyewe kuzidi kumchanganya rais.
 
we umeharibu ungekaa kimya mpka mtu aende SIMIYU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…