Mabadiliko makubwa before uchaguzi

Kama System inajitambua ifanye mabadiriko fasta la sivyo hii nchi hii inakwenda kupuyangapuyanga.

Mabadiliko lazima:

1. Yawe ya kimfumo, hii katiba ya sasa inalinda ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Kiufupi katiba hii ni existential threat ya nchi hii
2. Mabadiriko lazima yaweke pembeni watu wote ambao ni wapigaji, wanaonuka rushwa, wasio na maadili ya uongozi
3. Mabadiliko yaondoe sheria inayoruhusu TISS kufanya kazi za kipolisi za kukamata watu, irudi TISS ya kukusanya taarifa tu na iondoe kinga kwa watakaoua wananchi
 
Hakuna Nchi ya hivyo hapa Duniani,bila TISS kufanya hivyo hakuna Utawala.
 
System imeamua. Mabadiliko makubwa before uchaguzi
Hata mimi hayo mabadiliko nomeyasikia. Kwamba tangu Lissu aingie kwenye uwenyekiti wa Chadema, hali imekuwa mbaya sana. Hakuna fedha, hakuna mvuto na wanachama wanakimbia kila leo. Sasa Kamati Kuu ya Chadema iliyokaa jana, imepanga kwenda kumuomba msamaha Bilionea Mzee Mbowe.arudi kwenye Uwenyekiti na Lissu aondolewe!
 
We mama Joy usiwe unampa simu mtoto
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…