Mabadiliko hasa ni nini?

oltukai

Member
Mar 21, 2012
8
3
Kwa muda sasa tumekuwa tukiwasikiliza wanasiasa nchini wakisema wanahitaji mabadiliko,haikuishia hapo tu hata wananchi wenyewe wamekuwa wakisikika wakisema wanahitaji mabadiliko.
Je,mabadiliko ni nini hasa? yanaanzia kwa nani? ni jukumu la nani kuleta hayo mabadiliko? ni mabadiliko ya aina gani hasa Tanzania inayahitaji?
 
Back
Top Bottom