mabachela mnaweza iga hii

Kwa umeme wa TANESCO bora kuwasha mkaa tu.
 
Dakika 2 tu upo mezani unapata chai.
 
ina maanisha nini!!!

nilivyoelewa mimi ni kwamba hapo pasi ni kama jiko, so anaweka hilo jagi juu ya pasi kama ni chai inachemka tu, na viatu ndo kama mafiga vile yamesupport pasi
 
Huwezi kuwa bachera bila kuescape 69 entrance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…