mababu wa jf mnaitwa huku.............................
....hahahaa![emoji3]...naamini kuwa sijafika huko kwa mkongojo lakini nipo kwenye nyakati zile ambazo shughuli inaweza ikawa ni mara mbili tu kwa juma na mimi na bibienu tuna Amani.
Niseme tu hivi...kuanzia nikiwa na miaka 30 hadi sasa, bao la kwanza likijumlisha na minjonjo ya kupinduana huku na huko ilikuwa lazima lifike, na halizidi, dakika 9 hadi 11.
Ningepumzika kwa angalau dakika 15 ambazo zingetumika katika kupiga mastori na kushikana shikana, niharakishe kusema hapa mazungumzo haya yasingejulimsha vocha, hela ya saluni wala shopping kwa ajili ya sikukuu inayofuata wala mchango wa harusi! Haya yalikuwa ni mazungumzo tu na mizaha mingi ambayo ingeweza kuwafanya mcheke na hata kugonganisha viganja. Mazungumzo ya mahaba kwa maana halisi....na kisha tungeingia awamu ya Pili, ambayo ingejumuisha ujuzi, uzoefu na mastaili yote, na ingetumia kati ya dakika 15 hadi 20 na baada ya hapo niliyekuwa naye kama alikuwa ni mtu wa kulala (Samahani MamaDesi![emoji120])
Basi awamu nyingine ingekuwa saa 10 alfajiri ya dakika 10 hadi 12 na saa 11 alfajiri ya dakika hizo hizo ya kuendea Kazini!
Tatizo la vijana wangu nyakati hizi za Dotcom mmeruhusu mitandao kuwa ndio Role Model wenu!
Kila mtu anataka awe kama star wa phono anayepump mbele nyuma vile vile toka 'ubungo stand hadi Chalize'..awe na Pipe lililokwenda Shule na kadhalika na kadhalika..
Katika hiyo chungulia yangu chache ya hizo video zenu mnazopenda sijaona hata moja niliyoona kijana wa kiume anamkatikia kiuno mwenza wake...naona 'mbele nyuma mbele nyuma' tu!! [emoji16]
Angalieni shughuli ya mtu mzima mwenzangu Mchunga Kondoo! Wenyewe mmeapriciate kwamba tackle zake zilikuwa zimekwenda Shule! Mnapodai kuwa amechukua dakika moja tu, mnajua alikoanzia?? Mna uhakika gani kwamba pale alikuwa amepumzikatu kidogo na lile taki ndio lilikuwa la kumalizia gemu tu. Acheni dharau kwa Watu Wazima [emoji3]
Kuna wakati mtu unapiga tako hadi kama mtu anakula chabo dirishani anajiuliza kama yale ni makalio yako ama ngumi, goti ama sura ya mtu !!!![emoji23][emoji23]
Kuna watu wanajua kujituma kunako, bwana!!!
Yote kwa yote niseme tu kuwa achaneni na hizi chunguzi za watalaamu wetu wa kidotcom zsizoisha.
Uchunguzi upo kwenye mwili wako mwenyewe. Ufanyie kazi [emoji123][emoji123]