Maazimio ya KK ya Chadema hayajajibu kiu ya wanachama wake!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,076
29,631
Kwa waliofuatilia ni wazi watagundua kuna ujanjaujanja mwingi unaofanywa na KK ya Chadema.

Sijasikia azimio kuhusu kupatikana kwa katibu mkuu kitu ambacho ni muhimu kuliko yoote yaliyoazimiwa.

Katibu mkuu atateuliwa lini??

Matusi hayatakiwi tuje na hoja!
 
Ebu ya Chadema tuwaachie Chadema, kwanza kwenye uchaguzi wametusumbua sana.
Sisi tujikite kuangalia ni jinsi gani Shein atashinda kwa 100% zenji maana hana mpinzani na tutavyochakachua umeya wa hapa mjini!
 
Ya Zanzibar yana thread yake mkuu...hapa kuna hoja nzito...KK ilitakiwa kujadili ukosefu wa Katibu mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Chama na hatima ya Chama na operations zake.

Ni ujuhakuja na the so called Great Dar wakati huna mtendaji mkuu wa Chama.
 
ww ya chadema yanakuhusu nn!!
au ndo umbeya wakukaa vibarazan kaz kushoka tuuuuuuuu
 
Mimi nimechukizwa sana na Mbowe. Hivi kwanini hajaongelea suala linalotamba sasa hivi kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandaoni kuhusiana na mawaziri wa Magufuli waliokumbwa na kashfa ya UTAPELI (January Makamba) na ile ya KUMTEUA MGANDA KUWA MKURUGENZI wa NSFF (Jenister Mhagama)
 
Yamejibu!! Ila Kamati Kuu ya CHADEMA imeshindwa kukata kiu ya wanachama wake kuhusu Polisi kutaka taarifa za wachangiaji wa JF. Wanachama wa CHADEMA walikuwa wanataka kujua kwa nini walioshindwa kuendesha nchi ndiyo wanataka taarifa za waliowaajiri?
 
Hebu tufungue mkuu maana siijui tarehe ya kumpata katibu mkuu.
 
Nimwenye matatizo kichwani pekee anaye sumbuliwa NA Upumbavu wa CHAGA-DEMA
Wameshapoteza Network hawana hoja tena

Kununulia ni tatizo
 
Kwa waliofuatilia ni wazi watagundua kuna ujanjaujanja mwingi unaofanywa na KK ya Chadema.

Sijasikia azimio kuhusu kupatikana kwa katibu mkuu kitu ambacho ni muhimu kuliko yoote yaliyoazimiwa.

Katibu mkuu atateuliwa lini??

Matusi hayatakiwi tuje na hoja!
Utayapata tu c umejitakia mwenyewe wacha wakuvuluge tu
 
Mimi nimechukizwa sana na Mbowe. Hivi kwanini hajaongelea suala linalotamba sasa hivi kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandaoni kuhusiana na mawaziri wa Magufuli waliokumbwa na kashfa ya UTAPELI (January Makamba) na ile ya KUMTEUA MGANDA KUWA MKURUGENZI wa NSFF (Jenister Mhagama)
Aanze NA Lowassa ndio apandishe bakuli lake hovyo
 
Ya Zanzibar yana thread yake mkuu...hapa kuna hoja nzito...KK ilitakiwa kujadili ukosefu wa Katibu mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Chama na hatima ya Chama na operations zake.

Ni ujuhakuja na the so called Great Dar wakati huna mtendaji mkuu wa Chama.
Unaacha kulalamikia madin yanavyobebwa kama hayana mwenyewe au fisad chenge kupewa uwenyekit wa bunge au kumwambia Magufuli arudishe Nyumba zetu, umeng'ang'ania ukatibu mkuu wa chadema, pimbi wew
 
Matusi No! Mkuu jenga hoja...kama CCM inakosea basi Chadema ipatie...lakini ninachokiona ni usanii tu!
 
Ya Zanzibar yana thread yake mkuu...hapa kuna hoja nzito...KK ilitakiwa kujadili ukosefu wa Katibu mkuu ambaye ni mtendaji mkuu wa Chama na hatima ya Chama na operations zake.

Ni ujuhakuja na the so called Great Dar wakati huna mtendaji mkuu wa Chama.
ya cdm Haikuhussu ww nenda lumumba kaulizzie mwenyekiti wenu mtarajiwa ni nani?
tunajua mtego wa kum'bambika magu uenyekiti ameushtukia. Na hautaki.
 
unaposema "hebu tufungue" unatumia wingi halafu "siijui tarehe" unatumia umoja. Tafsiri yangu unayeandika ni wewe lakini unawakilisha "Group of 46" au mpo wote pamoja!!
Labda nibadilishe lugha ili usipate kisingizio...hebu funguka mkuu!!
 
Back
Top Bottom