The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
We hujanunulika badobado hawajakubaliana wamuuze nani kati ya Mnyika ama Kubenea..
ila usajili wa Mwigulhu ama Nape bado unawachanganya kamati kuu
Naona mzee bado ana hasira nae kwa matusi mazito mazito aliyomtukana kuelekea uteuzi wa ndani wa mgombea urais kupitia CCM.hata mimi nisingemtetea.kwani kabadilika nini na lini hadi aje leo awe mzuri!?.ka puuz sana kale ka pare kanakotembelea mikono!Unataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabunge
Lile azimio la kutoa mawakili wa kumsaidia Mange kufunguliwa tena akaunti yake lilipingwa vikali na lowassa,likafa kibudu
Majiu mengine hayanaga aibu Kiongozi! Jamaa limejilengesha kweli kwa magamba lakini limekosa bei hata bure wamegoma kuchukua. Ukiona hadi fisi kaacha mzoga ujue ni kimeta kweli kweli.Hivi yule ...[HASHTAG]#bensonmramba[/HASHTAG] aliyeleta habari kuhusu Lema n'a Jacob anajisikiaje sahivi...
Ova
We hujanunulika bado
Ova
Cc wasiraMaazimio ni kuwataka Wabunge wao wajitoe kwny Timu ya Netball ya Timu ya Bunge!
Hata Kipovu anajua kabisa Jahazi la Chagadema limetoboka Tanga lake, uelekeo wake ni uelekeo wa Upepo
Duhnimeandika hadi tangazo...na bei nimewapunguzia,na juzi nimeongea na polePole 'face to face'
sasa nawapa na ofa ya familia
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
......Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Mambo ya cdm hayawahusu jamaniUnataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabunge
Lile azimio la kutoa mawakili wa kumsaidia Mange kufunguliwa tena akaunti yake lilipingwa vikali na lowassa,likafa kibudu
Maazimio ni kuwataka Wabunge wao wajitoe kwny Timu ya Netball ya Timu ya Bunge!
Hata Kipovu anajua kabisa Jahazi la Chagadema limetoboka Tanga lake, uelekeo wake ni uelekeo wa Upepo
Mko makini kufuatilia ya CHADEMA mmeacha kiki za Mkiti wenu huko Dodoma kwa vile mnajua hana jipya zaidi ya kupokea makapi toka upinzani.
Unamaanisha dereva wa gari bovu.Hata tusipojua mambo yenu hayana maana tena kwani jahazi limeshazama
Namaanisha MakaraiUnamaanisha dereva wa gari bovu.
Makarai yalijiondoa yenyewe Chadema yako CCM.Namaanisha Makarai