Maaskofu Z'bar: Hatuhusiki na waraka wa vitisho

Jangakuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
513
Reaction score
221
Baraza la Maaskofu Zanzibar limekanusha halihusiki na waraka wa vitisho dhidi ya Wapemba na mpango wa kuhujumu Waislam kwenye miskitini kwa kutumia mabomu.

Tamko hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Zanzibar, Askofu Michael Hafidh wakati akizunguimza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kanisa la Pentekoste huko Mwanakwerekwe mjini Unguja jana.

Askofu Hafidh alisema waraka huo umewashtua na kuamua kuitisha kamati ya utendaji ya Baraza hilo kuujadili na kutoa tamko maalum kwa niaba ya makanisa na waumini wake visiwani Zanzibar.

Alisema kwamba waumini wa Kikristo na waumini wao kamwe hawatafanya vitendo vya kulipiza visasi na kanisa halihusiki na waraka huo uliolenga kuvuruga amani, mshikamano na umoja wa kitaifa Tanzania.

“Tunachukua nafasi hii kukanusha vikali kuwa taarifa hizo si za kweli, tunalaani kwa nguvu zetu zote, watu, mtu yeyote aliyehusika kueneza taarifa hizi za kizushi, zisizokuwa na msingi wowote zenye lengo la kuchafua kanisa na kuwatia hofu wananchi”, alisema Askofu Hafidh ambaye ni Askofu wa kanisa la Anglikana jimbo la Zanzibar.

Alisema kazi ya kanisa ni moja tu ambayo ni kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu na kamwe kanisa halitafanya umafia au kuingia katika mtego wa kijinga wenye malengo ya kuvuruga misingi ya umoja wa kitaifa na kuwataka waumini wake kuwa wahubiri wa amani.

“Tunapenda kuwahakikishia watanzania, uzushi na thuhuma zinazotolewa kupitia kipeperushi hicho hazitotuvunja moyo bali zitatuunganisha na kutuimarisha katika azma yetu ya kuhakikisha nchi yetu inabaki katika salama na amani kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama”, alisema Askofu huyo.

Akielezea ujumbe wa vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari “barua ya wazi ya wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kwa Kadinali Pengo”, Askofu Hafidh alisema tayari wameshachukua hatua ya kuvitaarifu vyombo vya ulinzi ili kuwasaka watu waliohusika kufanya vitendo hivyo.

Kwa upande wake, Padri Cosmas Shayo alisema vitendo vya usambazaji vipeperushi vimekuwa vya kawaida na haviwezi kudharauliwa, siku za nyuma vilisambazwa na baadae matukio mabaya yakafuatia.

Padri Shayo alisema kwamba vyombo vya ulinzi lazima vichukue hatua za kuwatafuta watu wanaotoa vitisho na kuleta mitafaruku isioleta sura nzuri wakati waumini wa kikristo na kiislam wamekuwa wakiishi kwa maelewano kwa miongo mingi visiwani Zanzibar.

Naye Mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Malonda Shukuru Stephen, alipongeza hatua ya Serikali ya kukaribisha wachunguzi na wapelelezi wa kimataifa dhidi ya watu wanaofanya hujuma ya makanisa na kuwahujumu viongozi wa dini visiwani humu.

Kwa mujibu wa vipeperushi hivyo vinawataka wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kuungana na kuanza kuwahujumu watu wenye asili ya pemba wanaoishi Tanzania Bara pamoja na kuhujumu mali zao.

“Sisi wakristo na watu wenye asili ya Bara tunaoishi Zanzibar tunakutaka uelewe kwamba huku Zanzibar hususan Wapemba hawatutaki tuishi huku”, sehemu ya barua hiyo kwenda kwa Kadinali Pengo imemeeleza.

Waraka huo unaiowataja baadhi ya wanasiasa wakiwemo baadhi ya viongozi waliko kwenye Serikali ya Umoja wa Kiataifa kuwa ndiyo wanaohusika na vitendo vya hujuma dhidi ya viongozi wa dini,makanisa na baa.

Akizungumzia tamko hilo la Baraza la Maaskofu Zanzibar, Mkurugenzi wa Makosa ysa Jinai Zanzibar Yussuf Ilembo alisema ni kweli vipeperushi hivyo vimesambazwa, jeshi la polisi linaendelea kufanyia uchunguzi watu wanaotoka vipeperushi hivyo.

Alisema katika kupambana na tatizo hilo wapelelezi bingwa kutoka Marekani(FBI) wameshafika Zanzibar ili kusaidia mpango kazi wa kuwasaka watu wanaofanya vitendo hivyo vya hujuma na kwamba utaalam wao utasaidia upelelezi wa ndani kuweza kulifikia lengo.

CHANZO: NIPASHE
 
Sasa kama wao huku bara wanaishi vizuri hakuna anayewahujumu halafu wao wanawahujumu wabara huko zanzibar unategemea wataachwa kirahisi hivihivi...Tena hawatapigwa na wakristo ila watapigwa na watu wanaowachukia kwasababu ushenzi wanaoufanya huko visiwani na hilo haliko mbali mimi namdogo wangu anakaa huko aliponisimulia wanavyonyanyaswa na panampemba mmoja mambo ninayomfanyia anatamani arudi kwao maana nilianza kupiga gospal akiomba ruhusa hata kama anaumwa namkatalia na huwa simsalimii ila akithubutu kupita bila kunisalimia huwa anakoma mwenyewe...Manake nalipa kisasi sio kwakuwa ni mkristo ila kwasababu nachukizwa na watu wabaya
 
Hivi FBI bado hawajamkamata maalim Seif kuhusu mauaji ya Padri?
 
Hata mkisema mmeua hamtafanywa kitu si mmekamata mamlaka bhana, hata akifa muuza unga semeni waislam wameua simmekamata mamlaka bhana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
"Sisi wakristo na watu wenye asili ya Bara tunaoishi Zanzibar tunakutaka uelewe kwamba huku Zanzibar hususan Wapemba hawatutaki tuishi huku", sehemu ya barua hiyo kwenda kwa Kadinali Pengo imemeeleza.
CHANZO: NIPASHE

Hakika Mungu hamfichi mnafiki. Juzi juzi hapa mlituambia ni Waislamu wanawachukia, leo hii Wapemba! Heri FBI mmekuja kukata mzizi wa fitina ingawaje ili kuendeleza propaganda na chuki za kidini, sitashangaa watu mkikataa matokeo ya uchunguzi huo!
 
Maaskofu huu mnaouita waraka wa kizushi wenye lengo la kuchonganisha mnakanusha,ila waraka kama huo ulipowahusisha waislam mlikuwa wakwanza kuuamini kuwa UAMSHO wamehusika kuusambaza tena Pengo ndiye anayeaminisha watu pamoja na waislam kukanusha kuwa hawahusiki na waraka huo lakini hamkutaka kuwaelewa.

Waislam siku zote ni wanyonge,uovu wote unaotendeka jalala lake ni waislamu.So kama mantiki ndiyo hiyo, waislam nao waamini kuwa ni kweli maaskofu wamehusika na usambazaji wa waraka huo wa kichochezi kama walivyowahusishwa waislam.Undumilakiwili haufanyi.
 
Pengo hajakanusha kauli yake kuhusu Wapemba waliouliwa na polisi mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuwa walikuwa na silaha pia akimaanisha mawe!

Katika wakati huu ambao juhudi zinafanyika kuhakikisha amani iliyopo nchini inaendelea kudumu ni muhimu sana kwa Pengo kujirudi na kuwaomba msamaha Watanzania wote kuhusu kauli yake ile yenye kuashiria chuki na utengano.
...ni wakati wa kuweka kila kitu mezani sasa ili ipatikane suluhu.
 
Hivi FBI bado hawajamkamata maalim Seif kuhusu mauaji ya Padri?

Maalim Seif, Amani Karume, Ismail Jussa, Mansour Y Himid, Mohamed Hashim, Mussa Ali Mussa na kisha wafuate kina Sheikh Farid Ahmed ambao hao ni dagaa tu
 
Baraza la Maaskofu Zanzibar limekanusha halihusiki na waraka wa vitisho dhidi ya Wapemba na mpango wa kuhujumu Waislam kwenye miskitini kwa kutumia mabomu.

Tamko hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Zanzibar, Askofu Michael Hafidh wakati akizunguimza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kanisa la Pentekoste huko Mwanakwerekwe mjini Unguja jana.

Askofu Hafidh alisema waraka huo umewashtua na kuamua kuitisha kamati ya utendaji ya Baraza hilo kuujadili na kutoa tamko maalum kwa niaba ya makanisa na waumini wake visiwani Zanzibar.

Alisema kwamba waumini wa Kikristo na waumini wao kamwe hawatafanya vitendo vya kulipiza visasi na kanisa halihusiki na waraka huo uliolenga kuvuruga amani, mshikamano na umoja wa kitaifa Tanzania.

"Tunachukua nafasi hii kukanusha vikali kuwa taarifa hizo si za kweli, tunalaani kwa nguvu zetu zote, watu, mtu yeyote aliyehusika kueneza taarifa hizi za kizushi, zisizokuwa na msingi wowote zenye lengo la kuchafua kanisa na kuwatia hofu wananchi", alisema Askofu Hafidh ambaye ni Askofu wa kanisa la Anglikana jimbo la Zanzibar.

Alisema kazi ya kanisa ni moja tu ambayo ni kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu na kamwe kanisa halitafanya umafia au kuingia katika mtego wa kijinga wenye malengo ya kuvuruga misingi ya umoja wa kitaifa na kuwataka waumini wake kuwa wahubiri wa amani.

"Tunapenda kuwahakikishia watanzania, uzushi na thuhuma zinazotolewa kupitia kipeperushi hicho hazitotuvunja moyo bali zitatuunganisha na kutuimarisha katika azma yetu ya kuhakikisha nchi yetu inabaki katika salama na amani kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama", alisema Askofu huyo.

Akielezea ujumbe wa vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari "barua ya wazi ya wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kwa Kadinali Pengo", Askofu Hafidh alisema tayari wameshachukua hatua ya kuvitaarifu vyombo vya ulinzi ili kuwasaka watu waliohusika kufanya vitendo hivyo.

Kwa upande wake, Padri Cosmas Shayo alisema vitendo vya usambazaji vipeperushi vimekuwa vya kawaida na haviwezi kudharauliwa, siku za nyuma vilisambazwa na baadae matukio mabaya yakafuatia.

Padri Shayo alisema kwamba vyombo vya ulinzi lazima vichukue hatua za kuwatafuta watu wanaotoa vitisho na kuleta mitafaruku isioleta sura nzuri wakati waumini wa kikristo na kiislam wamekuwa wakiishi kwa maelewano kwa miongo mingi visiwani Zanzibar.

Naye Mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Malonda Shukuru Stephen, alipongeza hatua ya Serikali ya kukaribisha wachunguzi na wapelelezi wa kimataifa dhidi ya watu wanaofanya hujuma ya makanisa na kuwahujumu viongozi wa dini visiwani humu.

Kwa mujibu wa vipeperushi hivyo vinawataka wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kuungana na kuanza kuwahujumu watu wenye asili ya pemba wanaoishi Tanzania Bara pamoja na kuhujumu mali zao.

"Sisi wakristo na watu wenye asili ya Bara tunaoishi Zanzibar tunakutaka uelewe kwamba huku Zanzibar hususan Wapemba hawatutaki tuishi huku", sehemu ya barua hiyo kwenda kwa Kadinali Pengo imemeeleza.

Waraka huo unaiowataja baadhi ya wanasiasa wakiwemo baadhi ya viongozi waliko kwenye Serikali ya Umoja wa Kiataifa kuwa ndiyo wanaohusika na vitendo vya hujuma dhidi ya viongozi wa dini,makanisa na baa.

Akizungumzia tamko hilo la Baraza la Maaskofu Zanzibar, Mkurugenzi wa Makosa ysa Jinai Zanzibar Yussuf Ilembo alisema ni kweli vipeperushi hivyo vimesambazwa, jeshi la polisi linaendelea kufanyia uchunguzi watu wanaotoka vipeperushi hivyo.

Alisema katika kupambana na tatizo hilo wapelelezi bingwa kutoka Marekani(FBI) wameshafika Zanzibar ili kusaidia mpango kazi wa kuwasaka watu wanaofanya vitendo hivyo vya hujuma na kwamba utaalam wao utasaidia upelelezi wa ndani kuweza kulifikia lengo.

CHANZO: NIPASHE
Kaaazi kweli kweli,
 
Hakika Mungu hamfichi mnafiki. Juzi juzi hapa mlituambia ni Waislamu wanawachukia, leo hii Wapemba! Heri FBI mmekuja kukata mzizi wa fitina ingawaje ili kuendeleza propaganda na chuki za kidini, sitashangaa watu mkikataa matokeo ya uchunguzi huo!
unaonaje wakaajiriwa ili waendelee kuishi,maana polisi imeshindwa kazi,jambo dogo kama hili wanaita FBI,akigongwa na gari waziri si majasusi wa dunia nzima watakuja?POLISI IMEONESHA HAIWEZI KAZI NA IAWEZA KUWAPIGA MABOMU TU RAIA
 
Maalim Seif, Amani Karume, Ismail Jussa, Mansour Y Himid, Mohamed Hashim, Mussa Ali Mussa na kisha wafuate kina Sheikh Farid Ahmed ambao hao ni dagaa tu

Mbona umemsahau na Ali Shein katika list yako!

"Niliposikia kuna maandamano jambo la mwanzo niliulizia vipi hajafa mtu hata mmoja huko lakin? Nikaambiwa bado, hapo nikasema Alhamdulillah...."
Ali Muhamed Shein.
Hapo ndio Watanganyika munatakiwa mufahamu kama Wazanzibari wote ni UAMSHO, sasa sijui hao FBI na CIA wataanzia wapi hiyo kazi yao?!
 
.

Waraka huo unaiowataja baadhi ya wanasiasa wakiwemo baadhi ya viongozi waliko kwenye Serikali ya Umoja wa Kiataifa kuwa ndiyo wanaohusika na vitendo vya hujuma dhidi ya viongozi wa dini,makanisa na baa.
Kama sio Sefu...sijui...!!!
 
Baraza la Maaskofu Zanzibar limekanusha halihusiki na waraka wa vitisho dhidi ya Wapemba na mpango wa kuhujumu Waislam kwenye miskitini kwa kutumia mabomu.

Tamko hilo limetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Zanzibar, Askofu Michael Hafidh wakati akizunguimza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kanisa la Pentekoste huko Mwanakwerekwe mjini Unguja jana.

Askofu Hafidh alisema waraka huo umewashtua na kuamua kuitisha kamati ya utendaji ya Baraza hilo kuujadili na kutoa tamko maalum kwa niaba ya makanisa na waumini wake visiwani Zanzibar.

Alisema kwamba waumini wa Kikristo na waumini wao kamwe hawatafanya vitendo vya kulipiza visasi na kanisa halihusiki na waraka huo uliolenga kuvuruga amani, mshikamano na umoja wa kitaifa Tanzania.

“Tunachukua nafasi hii kukanusha vikali kuwa taarifa hizo si za kweli, tunalaani kwa nguvu zetu zote, watu, mtu yeyote aliyehusika kueneza taarifa hizi za kizushi, zisizokuwa na msingi wowote zenye lengo la kuchafua kanisa na kuwatia hofu wananchi”, alisema Askofu Hafidh ambaye ni Askofu wa kanisa la Anglikana jimbo la Zanzibar.

Alisema kazi ya kanisa ni moja tu ambayo ni kutangaza habari njema ya ufalme wa Mungu na kamwe kanisa halitafanya umafia au kuingia katika mtego wa kijinga wenye malengo ya kuvuruga misingi ya umoja wa kitaifa na kuwataka waumini wake kuwa wahubiri wa amani.

“Tunapenda kuwahakikishia watanzania, uzushi na thuhuma zinazotolewa kupitia kipeperushi hicho hazitotuvunja moyo bali zitatuunganisha na kutuimarisha katika azma yetu ya kuhakikisha nchi yetu inabaki katika salama na amani kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama”, alisema Askofu huyo.

Akielezea ujumbe wa vipeperushi hivyo vyenye kichwa cha habari “barua ya wazi ya wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kwa Kadinali Pengo”, Askofu Hafidh alisema tayari wameshachukua hatua ya kuvitaarifu vyombo vya ulinzi ili kuwasaka watu waliohusika kufanya vitendo hivyo.

Kwa upande wake, Padri Cosmas Shayo alisema vitendo vya usambazaji vipeperushi vimekuwa vya kawaida na haviwezi kudharauliwa, siku za nyuma vilisambazwa na baadae matukio mabaya yakafuatia.

Padri Shayo alisema kwamba vyombo vya ulinzi lazima vichukue hatua za kuwatafuta watu wanaotoa vitisho na kuleta mitafaruku isioleta sura nzuri wakati waumini wa kikristo na kiislam wamekuwa wakiishi kwa maelewano kwa miongo mingi visiwani Zanzibar.

Naye Mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) Malonda Shukuru Stephen, alipongeza hatua ya Serikali ya kukaribisha wachunguzi na wapelelezi wa kimataifa dhidi ya watu wanaofanya hujuma ya makanisa na kuwahujumu viongozi wa dini visiwani humu.

Kwa mujibu wa vipeperushi hivyo vinawataka wakristo na wabara wanaoishi Zanzibar kuungana na kuanza kuwahujumu watu wenye asili ya pemba wanaoishi Tanzania Bara pamoja na kuhujumu mali zao.

“Sisi wakristo na watu wenye asili ya Bara tunaoishi Zanzibar tunakutaka uelewe kwamba huku Zanzibar hususan Wapemba hawatutaki tuishi huku”, sehemu ya barua hiyo kwenda kwa Kadinali Pengo imemeeleza.

Waraka huo unaiowataja baadhi ya wanasiasa wakiwemo baadhi ya viongozi waliko kwenye Serikali ya Umoja wa Kiataifa kuwa ndiyo wanaohusika na vitendo vya hujuma dhidi ya viongozi wa dini,makanisa na baa.

Akizungumzia tamko hilo la Baraza la Maaskofu Zanzibar, Mkurugenzi wa Makosa ysa Jinai Zanzibar Yussuf Ilembo alisema ni kweli vipeperushi hivyo vimesambazwa, jeshi la polisi linaendelea kufanyia uchunguzi watu wanaotoka vipeperushi hivyo.

Alisema katika kupambana na tatizo hilo wapelelezi bingwa kutoka Marekani(FBI) wameshafika Zanzibar ili kusaidia mpango kazi wa kuwasaka watu wanaofanya vitendo hivyo vya hujuma na kwamba utaalam wao utasaidia upelelezi wa ndani kuweza kulifikia lengo.

CHANZO: NIPASHE
hao wapelelezi wa marekani waanze kazi kwa kumuuliza Waziri awaeleze alifanyaje akafahamu kwamba zanzibar kuna magaidi
 
Sasa kama wao huku bara wanaishi vizuri hakuna anayewahujumu halafu wao wanawahujumu wabara huko zanzibar unategemea wataachwa kirahisi hivihivi...Tena hawatapigwa na wakristo ila watapigwa na watu wanaowachukia kwasababu ushenzi wanaoufanya huko visiwani na hilo haliko mbali mimi namdogo wangu anakaa huko aliponisimulia wanavyonyanyaswa na panampemba mmoja mambo ninayomfanyia anatamani arudi kwao maana nilianza kupiga gospal akiomba ruhusa hata kama anaumwa namkatalia na huwa simsalimii ila akithubutu kupita bila kunisalimia huwa anakoma mwenyewe...Manake nalipa kisasi sio kwakuwa ni mkristo ila kwasababu nachukizwa na watu wabaya

Mkuu wangu, pole sana kwa madhira yanayomkuta mdogo wako huko ZNB.
Lakini mkuu, huoni kwamba unamuonea bure huyo Mpemba anayefanyakazi ofisini kwako? Yeye anahusikaje na yanayotokea ZNB?

Yawezekana huyo Mpemba yupo bara kwa kukimbia matatizo ya huko kwao. Kwa ufupi kisasi si kizuri, hususan unapomfanyia asiyehusika.
 
makafiri wanaraha sana,eti wanajifanya kukanusha na kujifanya wao hawahusiki na huo waraka,nani ataunadika?ila mi naamini mfanyaji hasemi,kama mnaweza fanyeni then tuone kifuatacho,,,nyie mkitoa vitisho mnajifanya sio na usitiliwe maanani,sasa kwa taarifa yenu ......fanyeni tuwaone,muhujumu miskiti,heee hamjui kama matatizo kama hayo yalishajulikana kabla na cha kufanya kishawekwa?anzani tu watu waanze kazi,watu wanaotaka au kulinda haki yao ni magaidi,
 
Maaskofu huu mnaouita waraka wa kizushi wenye lengo la kuchonganisha mnakanusha,ila waraka kama huo ulipowahusisha waislam mlikuwa wakwanza kuuamini kuwa UAMSHO wamehusika kuusambaza tena Pengo ndiye anayeaminisha watu pamoja na waislam kukanusha kuwa hawahusiki na waraka huo lakini hamkutaka kuwaelewa.

Waislam siku zote ni wanyonge,uovu wote unaotendeka jalala lake ni waislamu.So kama mantiki ndiyo hiyo, waislam nao waamini kuwa ni kweli maaskofu wamehusika na usambazaji wa waraka huo wa kichochezi kama walivyowahusishwa waislam.Undumilakiwili haufanyi.
i
Mi naomba waseme hadharani kuwa wananchi wasiamini amini waraka za kichonganishi bila ubaguzi maana kama unavyosema walivyotuhumiwa waislam/uamsho walilivalia njuga ,sasa liko ipande wao ushakuwa uzushi!karibu FBI!
 
Sasa kama wao huku bara wanaishi vizuri hakuna anayewahujumu halafu wao wanawahujumu wabara huko zanzibar unategemea wataachwa kirahisi hivihivi...Tena hawatapigwa na wakristo ila watapigwa na watu wanaowachukia kwasababu ushenzi wanaoufanya huko visiwani na hilo haliko mbali mimi namdogo wangu anakaa huko aliponisimulia wanavyonyanyaswa na panampemba mmoja mambo ninayomfanyia anatamani arudi kwao maana nilianza kupiga gospal akiomba ruhusa hata kama anaumwa namkatalia na huwa simsalimii ila akithubutu kupita bila kunisalimia huwa anakoma mwenyewe...Manake nalipa kisasi sio kwakuwa ni mkristo ila kwasababu nachukizwa na watu wabaya

KT PARAGRAF YAKO YA MWISHO SASA WEWE UNAJITOFAUTISHAJE NA MTU MBAYA ASA UAMSHO? MODs NATMAI AMTOUONDOA HUU UZI KWA KUWA UNAWAFURAISHA, WAKUMBUKA ULE UZI ULOQUOTE MANENO TOKA RADIO MOJA UKO ZANZIBAR ILIOSEMA, PADRI ALOUWAWA TUKIO ILO LILITOKANA NA KUDHURUMIANA MIADARATI NA WENZAKE PIA KT NYUMBA YAKE ZILIKUTWA KILO10 ZA MIADARATI MLIUONDOA KWANI NATMAI ULIWAUDHI NA AMKUPENDA MICHANGO JUU YA IYO QUOTATION, AU?..
 
Mkuu wangu, pole sana kwa madhira yanayomkuta mdogo wako huko ZNB.
Lakini mkuu, huoni kwamba unamuonea bure huyo Mpemba anayefanyakazi ofisini kwako? Yeye anahusikaje na yanayotokea ZNB?

Yawezekana huyo Mpemba yupo bara kwa kukimbia matatizo ya huko kwao. Kwa ufupi kisasi si kizuri, hususan unapomfanyia asiyehusika.

NI ROHO MBAYA TU UYO MBULULA, AJIONA YE NI ALFA NA OMEGA, HAFAI KUWA KIONGOZ, NA ENDELEZA UNYAMA WAKE AS IF OFISI IYO NI YA MAMA YAKE, NA WATOTO WAKO UWAAJIL PIA O.W YATAWAKUTA PIA YA ROHO MBAYA KM YA WEWE BABAYAO NA WATAKOMa KW UNAVO MTESA MPEMBA WA WATU, NDULI WE
 
Back
Top Bottom