Maaskofu Watoa Waraka Mzito

Tumewasikia CCT ila wakati mwingine muwe na ujasiri wa kumwambia mtu mnayedhani ni tatizo ukweli, matamko ya ujumla yanafanya wasijitambue. Kuna viongozi mara kadhaa wamekuwa wakivunja katiba au misingi ya haki za binadamu, ifike sehemu waambiwe ukweli, msiwaonee haya wala kuogopa. Waambieni ukweli nchi ipone na kupiga hatua
 
Hawajamuongelea yule mzaliwa wa Kol me jei aliyeenda kulia kanisani!!!!
Wangekemea na hilo.
Maana bashite hasomeki popote kwenye Liturugia, iweje akawahutubie washarika?

Aonywe mchungaji aliyempa fursa.
Maaskofu huwa hawafati mikumbo ya manyumbu a.k.a mikumbo ya mitandaoni.
 
Safi waendelee kujitahidi hivyo hivyo kuikumbusha serikali masuala muhimu.Ila naona kanisa katoliki awamu hii wapo kimya kama hawaoni yanayoendelea,sio kama ilivyokua kwenye awamu iliyopita.
 
Viongozi wa dini kila j'mosi na j'2 mnapiga sadaka tu bila jasho,h ha ha ha aaaaa tulien hvy hvy maana mmeacha neno LA munhu na kuangukia mipasho
 
Well noted
 
Wapuuzi tu hawana lolote, wanaogopa kumwambia ukweli mkristo mwenzao, wanasubiri aingie muislamu ndo walete nyoko nyoko zao
Duu watanzani bado tumetawaliwa na fikra za udini n sio fikra huru...laiti angesema shehe Ponda sijui kama ungeandika hivi..Mungu akusamehe.
 
Hapo kwenye kuombea viongozi kwangu mimi pagumu sababu wanamiungu yao. Wanawadharau wanadamu wenzao. Labda kama watajirekebisha
Sasa si ...ndio uwaombee....waachane na hiyo miungu....pia waache dharau...mbona unakuwa mzito....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…