Maaskofu wa KKKT Bagonza, Shoo na Munga kuendeleza harakati baada ya Lowassa kurudi CCM?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Ni dhahiri rafiki zangu Bagonza,Shoo na Munga wamejifunza jambo kubwa kwenye siasa hususani katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 na 2019 kwa kweli kweli walipambana kuhakikisha safari ya matumaini inatimia bila kuelewa fumbo lililokuwemo katika furushi zima la safari matumaini.

Walifikia kipindi kuwatenga baadhi ya maaskofu waliokuwa kinyume na misimamo yao.Maaskofu Dr.Masangwa wa Arusha,Dr.Malasusa wa DMP nk walionekana hawafai lakini leo ukweli umesimama.

Ifike mahali niseme si vema kuwatenga ndugu na jamaa sababu ya itikadi za kisiasa au ufuasi wa mwanasiasa.

Nimalize kwa kuwashairi akina Bagonza,Shoo na Munga wajikite kuhubiri neno la Mungu huku wakitoa ushauri na tahadhari kwa hekima.

Leo Ndg.Lowasa karudi upande wa pili mliokuwa mkiunanga mitaani na kwenye madhabahu.

Liwe fundisho,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa walikua wanamtetea Lowassa au walikua wanatetea haki demokurasia na amani nchini.....mkuu fafanua

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa team Lowassa toka akiwa CCM wakahama naye kwenda chadema.Sasa hilo limebunguruka.Kakobe, Gwajima na wajahidina chini ya shehe Katimba mlioporomosha maombi mtu wenu huyo kasepa kaenda CCM
 
Unataka kutuambia msimamo wa maaskofu hao kuhusu haki na demokrasia ulikuwa na uhusiano na Lowassa? Mbona wewe binti ni mzushi na mzqndiki kama mchawi!
Utakuwa u aabudu ile dini ya wasali uchi wewe, eboo!
Waheshimu viongozi wetu wa dini kama wewe wanavyo kuheshimu wasanii kina Amberlut na dudu baya kwa vile ndio bosi wao

Kamanda ukweli haipendi kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Ni dhahiri rafiki zangu Bagonza,Shoo na Munga wamejifunza jambo kubwa kwenye siasa hususani katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 na 2019 kwa kweli kweli walipambana kuhakikisha safari ya matumaini inatimia bila kuelewa fumbo lililokuwemo katika furushi zima la safari matumaini.

Walifikia kipindi kuwatenga baadhi ya maaskofu waliokuwa kinyume na misimamo yao.Maaskofu Dr.Masangwa wa Arusha,Dr.Malasusa wa DMP nk walionekana hawafai lakini leo ukweli umesimama.

Ifike mahali niseme si vema kuwatenga ndugu na jamaa sababu ya itikadi za kisiasa au ufuasi wa mwanasiasa.

Nimalize kwa kuwashairi akina Bagonza,Shoo na Munga wajikite kuhubiri neno la Mungu huku wakitoa ushauri na tahadhari kwa hekima.

Leo Ndg.Lowasa karudi upande wa pili mliokuwa mkiunanga mitaani na kwenye madhabahu.

Liwe fundisho,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app
No these people have always been objective. That is what they're
 
Kwanza naupongeza Mfuko wa Hifadhi ya jamii wa NSSF kwa kutoa huduma zake Kidigitali kwa Wanachama na Wastaafu wake.Wanachama na Wastaafu wamekuwa wanapata taarifa na kuuliza maswali yao kirahisi.Nachukua nafasi hii kuutaka Mfuko wa PSSSF nao kuiga mfano wa NSSF kutoa huduma zake Kidigitali ili kuondoa usumbufu kwa Wanachama na Wastaafu wake ambao wanakerwa sana na huduma za PSSSF.Pia nawaomba PSSSF wawalipe Mafao yao Wastaafu kwani ni muda mrefu wamekuwa wanayasubiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Ni dhahiri rafiki zangu Bagonza,Shoo na Munga wamejifunza jambo kubwa kwenye siasa hususani katika kipindi cha kati ya mwaka 2015 na 2019 kwa kweli kweli walipambana kuhakikisha safari ya matumaini inatimia bila kuelewa fumbo lililokuwemo katika furushi zima la safari matumaini.

Walifikia kipindi kuwatenga baadhi ya maaskofu waliokuwa kinyume na misimamo yao.Maaskofu Dr.Masangwa wa Arusha,Dr.Malasusa wa DMP nk walionekana hawafai lakini leo ukweli umesimama.

Ifike mahali niseme si vema kuwatenga ndugu na jamaa sababu ya itikadi za kisiasa au ufuasi wa mwanasiasa.

Nimalize kwa kuwashairi akina Bagonza,Shoo na Munga wajikite kuhubiri neno la Mungu huku wakitoa ushauri na tahadhari kwa hekima.

Leo Ndg.Lowasa karudi upande wa pili mliokuwa mkiunanga mitaani na kwenye madhabahu.

Liwe fundisho,tusameheane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki kuna mahali walikuwa wanamtaja Lowassa ? usilete uchochezi mkuu

Mwanangu umeandika nothing but pumba.
Ujue kutofautisha misimamo ya watu binafsi na siasa.
Si kila mwente msimamo ni mwanachama wa chadema.
Uliowataja.. hawana hata kadi za uwana chama wala hawajawahi kuonekana kwenye matukio ya vyam vya siasa.

Sasa wataendelezaje harakati wkt hata si wanahama wa chama chenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa team Lowassa toka akiwa CCM wakahama naye kwenda chadema.Sasa hilo limebunguruka.Kakobe, Gwajima na wajahidina chini ya shehe Katimba mlioporomosha maombi mtu wenu huyo kasepa kaenda CCM
Maaaskof uliowataja. Hawakuwahi.. wala sijawahi kusikia wana vyeo au ni wanachama wa chadema.
Ni maaskofu tu wakanisa.
Kisa tu wamekuwa na mawazo tofauti na serikal tayari mna wa label kuwa ni chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kutuambia msimamo wa maaskofu hao kuhusu haki na demokrasia ulikuwa na uhusiano na Lowassa? Mbona wewe binti ni mzushi na mzqndiki kama mchawi!
Utakuwa u aabudu ile dini ya wasali uchi wewe, eboo!
Waheshimu viongozi wetu wa dini kama wewe wanavyo kuheshimu wasanii kina Amberlut na dudu baya kwa vile ndio bosi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri utawaona wanavyobadirika kama Kakobe! Naomba usije ukaanza kutoa mapovu ya OMO!
 
Back
Top Bottom