katika harakati za urais 2015 -2020 kati ya chadema na CCM nani alikuwa mbaya wa mh Lowassa?

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
mtakumbuka kuwa chadema walipost list of shame wakionyesha kuwa mh lowassa alikuwemo kwenye list ile!list ile iliandikwa na wasomi nguli kwa jinsi hiyo walifanya utafiti kabla ya kuandika list ile!msomi hawezi Ku publish wrong data otherwise kama ni mwanafunzi atakuwa amedisquolify kupata cheti !na kama ni msomi watu watatilia shaka usomi wake!!magazeti yanayomilikiwa na wanachama Wa chadema waliendelea kuanika ufisadi Wa lowassa na kusema eti hasafishiki hata kwa dodoki!walimchafua kweli kweli dunia nzima inajua!!!kipindi cha kuchukua fomu ya kugombea urais ilisikika wakisema :CCM wamempa fisadi fomu ya urais ni hatari......wengine wakasema :si safari ya matumaini bali ya matumizi.....nk!!!!!CCM chama makini wakaona si shida .wakaamini kuwa lisemwalo yawezekana lipo na tukimpitisha huyu itakula kwetu!!!wakamkata!!!hakukuwepo na namna!!!chadema na helea kusema si chama makini wakamteama mgombea wao mwadilifu aliyekipigania chama mpaka kuvunjwa mkono wakambadili na yuleee waliyemchafua wenyewe!!! ilikuwa ni masikitiko kwa wanachama wazalendo na mshangao lakini pia ilikuwa Furaha kuwa kwa CCM!!!

October 2015 lowassa akapigwa chini na bulldozer mh JPM !!!chadema wakaanza propaganda eti tumeibiwa kura za urais lakini si za udiwani wala ubunge!!!wenye akili wakashangaa tena akiwemo MM mwanakijiji!!!

Sasa ebu nipeni majibu !kati ya CCM na chadema/ukawa ni nani adui au kipingamizi katika harakati za mh Lowassa kupata urais??

njoni kwa hoja si matusi ili tumsaidie kipenzi chetu mh Lowassa!!
 
Back
Top Bottom