Kwani wewe Tanzania umehamia juzu usio jua kwamba maaskofu ni machawa na wabinafsi bakwata ni tawi la CCM.Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?
Kutwa wanaomba fedha serikalini unadhani watashughulika na rushwa?Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?
kwamba wajiunge na mpotishaji, mzushi na muongo, right?🐒Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa! Askofu Malasusa ni chawa namba Moja!Kwani wewe Tanzania umehamia juzu usio jua kwamba maaskofu ni machawa na wabinafsi bakwata ni tawi la CCM.
Wanahabari wapi? levo za wakin Mwijaku? Maaskfo kama wakina Mawamposa?Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?
Kuna askofu mkuu wa kanisa moja alisema "mimi sikulelewa kupingana na Serikali" 🤣Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Wamekaa stendibai wakisubiri wito kwenda kuchukua bahasha za khaki.Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika mashariki, ni Tanzania pekee yenye bei kubwa ya sukari. Hii inathibitisha ukweli wa hoja za mh. Mpina.
Kama ndivyo, kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?
Uchumi wa Nchi unahusu maisha ya watu na watu hawa ndo Waumini wenu. Hawa Waumini ndo wanaowapeni sadaka na michango mbalimbali ili muweze kuendesha taasisi. Kwa nini sasa mnakuwa na tabia ya kukaa kimya wakati Nchi inapokuwa inahujumiwa na genge fulani kwa maslahi yake?
Angalau TEC, mara chache huwa mnajitokeza, lakini tunatakiwa kuongeza speed ili kuepusha Taifa kuangukia mikononi mwa MAJIZI.
Wanahabari nao ni hawana msaada wowote Katika Nchi hii tofauti kabisa na Wanahabari wa Nchi zingine Duniani.
Sisi Watanzania tulirogwa na nani?
Kabisaa.Wamekaa stendibai wakisubiri wito kwenda kuchukua bahasha za khaki.
Kama ndivyo, kesho nitaongoza maandamano kwenda kwa paroko kudai sadaka na zaka zangu zote nilizotoa kwa kipindi chote.Kwani wewe Tanzania umehamia juzu usio jua kwamba maaskofu ni machawa na wabinafsi bakwata ni tawi la CCM.
Ukiambiwa mtu hataishi kwa sukari tu...!!? Utajisikiaje?...kwa nini viongozi wetu wa Dini mmekaa kimya?