Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Salam za christimas
Ujue amna atajaenda kwa Mtakatifu alafu akakosoa uso kwa macho, angalia listi Wa waliokosoa na kufika uso kwa macho Mwinyi nchi inaongozwa kama gari bovu=unaongoza vizuri sana mambo yaliotushinda sisi wewe kwa mwaka 1.Mbona Askofu Pengo amesema maisha ni mazuri sana awamu hii kuliko awamu zilizopita
Amen RA. ..na iwe hivyo milele yoteMwambieni Mbowe alipa kodi ya wananchi(Nhc) na pia alipe wafanyakazi wake ,kuwakimbia na kujificha haisaidii kitu..
Huku vijijini tuna hela hadi ya kunywesha soda mbuzi.
Yani tunaimba magufuli for life