Mwanakili90 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,568 Reaction score 246 Jan 20, 2012 #1 Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema Msiba oyee, jenesa safiiiii amependesa hajapendesa? Basi mwenye wifu na yeye akufe kama hii mutu hapa. 9c dreams wanajf.
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema Msiba oyee, jenesa safiiiii amependesa hajapendesa? Basi mwenye wifu na yeye akufe kama hii mutu hapa. 9c dreams wanajf.