Maandishi kwenye mwili

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,147
2,630
Hamjambo wakuu?

Sasa kuna kitu cha kushangaza kidogo kimenitokea, leo asubuhi wakati naamka nimejikuta maandishi ya herufi mbili yamechorwa kwenye mwili wangu sehemu za bega la kushoto, herufi hizo ni K na Z..

Ni nini hizi?
 
Zimeandikwa kwa wino gani?
 
Hazijaandikwa kwa wino, ni kama zimekwaruzwa hivi kwa kutumia kitu kigumu
 
wala hakuna shida ,ni kwamba umejikwaluza wewe mwenyewe muda wa usiku ukiwa kwenye usingizi mzito.
unajua ata ukiwa kwenye usingizi kuna mambo yanayoendelea kama kawaida,kwa mfano unaweza kumuua mbu anayejaribu kukuuma uku ukiwa katika usingizi mzito.
Vile vile inapotokea sehemu Fulani ya ngozi kuwasha,mwili unauwezo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo ili uchukue hatua stahiki(kujikuna)ata kama upo kwenye usingizi mzito.
 
Akikuelewa ni vema sana.
kasema K na Z...

Bado zipo hadi muda huu Papa?
 
wala hakuna shida ,ni kwamba umejikwaluza wewe mwenyewe muda wa usiku ukiwa kwenye usingizi mzito.
unajua ata ukiwa kwenye usingizi kuna mambo yanayoendelea kama kawaida,kwa mfano unaweza kumuua mbu anayejaribu kukuuma uku ukiwa katika usingizi mzito.
Vile vile inapotokea sehemu Fulani ya ngozi kuwasha,mwili unauwezo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo ili uchukue hatua stahiki(kujikuna)ata kama upo kwenye usingizi mzito.
Inawezekana, kuna wakati nilikuwa na usingizi mzito nilasikia kama kuna washwa hivi begani mkono wa kushoto, nikadhani labda mbu nikawasha taa kucheki kuna mbu ndani ya net

Ila kilichonishangaza jinsi herufi zilivyojitokeza tena kwa ufasaha kabisa K na Z hata mtoto mdogo anayejua kusoma anaweza kuzitambua
 
wala hakuna formula ya herufi gani kutokea,kwenye kujikuna (hasa nyakati za usingizi mzito usiku)herufi yoyote au umbo lolote uweza kujitokeza kwenye ngozi.
herufi Z ndio inatokeaga kwa sana kwa watu wanaojikuna usiku ikifuatiwa na L,ila kwa ujumla herufi yoyote uweza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom