Maandamo Musoma mjini

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
282
Wananchi wa Musoma mjini mkoani Mara sasa hivi wanaandamana kuelekea kwenye ofisi ya RPC kupinga mauaji yanayoendelea. Baadhi ya watu wamekuwa wakiuwawa kwa kukatwa vichwa ilihali jeshi la polisi halichukui hatua za kotosha kukomesha mauaji hayo.

Source: ITV/Radio One
 
hawa polisi wanamatatizo mengi ambayo yanawasibu lkn kunyamazia mauaji ya wananchi siyo nkia sahihi ya kufikisha ujumbe vinginevyo tutasema kuwa wao ndio wanaendesha hayo mauaji.
 
polisi wapo kwaajili ya kufukuza maandamano na kuwatawanya waandamanaji mambo ya kuua wala hawayajali labda afe polisi wao ndo utaona hadi baba yao IGP anakimbilia eneo la tukio
 
waliua lini? tupe ufafanuzi mlioko kwenye eneo la tukio
 
Tatizo liko kwa rpc na dc hawa watu ni wapumbavu wanafichwa ukweli wa jambo hili na hawataki kulishughulikia huku wakiwaacha wananchi wanateketea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…